Noma kilo kumi

yaani hii lugha ni nzuri....nimerudia tena na tena na tena.....haichoshi
 
nyambaffffffff na lugha yako japo nimecheka.
 
Hahahaha yote tisa kumi ni kiswahili chako walah utakula mbata za haja kwa uhuni huo
 
Hata mimi,mwanzo nik
Siju niwa huko huko au kajifunza? Nimerudia kuisoma ndiyo nimepata kuielewa vizuri.[/QUOTE
Hata mimi,mwanzoni nilitoka kapa mkuu afu ndo nikarudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…