Noma sana

Noma sana

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
1711268569604.jpg

SHARUBU; Kuna Shabiki wa Yanga humo Nije ????😄🤣🤪😆😄
WATALII; Hapana Mkuu, Sisi ni Mashabiki wa MAMELOD tumetoka Nchi za Mbali, tumekuja kuliamsha Dude kwa Mkapa tarehe 30 dhidi ya Hao Yanga Unaowaulizia Mkuu.
SHARUBU; Haya Nendeni,ila Muwe Makini 👌 hao Yanga Wanafugaga MAJINI 🤪
 
Back
Top Bottom