Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba

Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba

Mikitariyani

Senior Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
112
Reaction score
103
Habari wana JF,

Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba.

Natunguliza shukrani
 
Ninachojua ni kuwa hakuna usafiri wa moja kwa moja toka Sumbawanga kwenda Mwanza . Bali kunausafiri wa Swanga-Kigoma na kuna usafiri wa Mpanda-Mwanza hivyo chagua wewe mwenyewe.
 
Hakuna Usafiri Wa Moja Kwa Moja Lakini Unaweza
Kupanda Bus Hizi Mpaka Manyoni/Dodoma
Adventure/Majinjah Toka Mpanda

Halafu Manyoni/Dodoma Ukapanda Frester Inayotoka Morogoro ~Bukoba Kila Siku
Shukrani sana
 
Ninachojua ni kuwa hakuna usafiri wa moja kwa moja toka Sumbawanga kwenda Mwanza . Bali kunausafiri wa Swanga-Kigoma na kuna usafiri wa Mpanda-Mwanza hivyo chagua wewe mwenyewe.
Sawa kiongoz nimekupata
 
Habari wana JF
Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya sumbawanga/mpanda kwenda bukoba
Natunguliza shukrani
Mkuu panda Sumbawanga Mpanda Mwanza. Ukifika Tinde Tafuta Gari za Bukoba au kahama hapo utafika kwa Urahisi ila ukizungukia Kigoma utakula vumbi na Kuchoka sababu Gari la Kigoma Bukoba ni chakavu sana na halitembei kabisa unaweza kujikuta umetumia siku tatu Kufika
 
Haa Haa Haa Haa
Watu Wanakula Karanga, Mayai, Mapachichi, Ndizi, NNumbu Halafu Pepsi Mkubwa Wao Ml 500 TumboLinajaa Kama Mpira Gas Nyingi
Itungwe sheria watu wasibugie sana.Wale chipsi kavu kama "muheshimiwa" Magufuli alivyowalisha viongozi pale ikulu wakati wanatengeneza filamu awali kabisa.😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom