Mikitariyani
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 112
- 103
Shukrani sanaHakuna Usafiri Wa Moja Kwa Moja Lakini Unaweza
Kupanda Bus Hizi Mpaka Manyoni/Dodoma
Adventure/Majinjah Toka Mpanda
Halafu Manyoni/Dodoma Ukapanda Frester Inayotoka Morogoro ~Bukoba Kila Siku
Kiongozi Haa Haa HaaUmepewa muongozo na waheshimiwa hapo juu.Ila usinywe chai nyingi utarudisha chenji njiani.ππππ
Safari yako utaanzia Iringa au utaenda hadi Sumbawanga kwanza?Natania.Shukrani sana
Sawa kiongoz nimekupataNinachojua ni kuwa hakuna usafiri wa moja kwa moja toka Sumbawanga kwenda Mwanza . Bali kunausafiri wa Swanga-Kigoma na kuna usafiri wa Mpanda-Mwanza hivyo chagua wewe mwenyewe.
Mkuu panda Sumbawanga Mpanda Mwanza. Ukifika Tinde Tafuta Gari za Bukoba au kahama hapo utafika kwa Urahisi ila ukizungukia Kigoma utakula vumbi na Kuchoka sababu Gari la Kigoma Bukoba ni chakavu sana na halitembei kabisa unaweza kujikuta umetumia siku tatu KufikaHabari wana JF
Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya sumbawanga/mpanda kwenda bukoba
Natunguliza shukrani
Hii IPO itanifaa zaidVP mpanda Tabora
Wanafungasha mahindi ya kuchemshwa,mtindi,mayai ya kuchemshwa na jusi-kola!ππππKiongozi Haa Haa Haa
Hizo Bus Watu Wanakula Acha Halafu Usipande Eti Utangulize Usafi Utachoka.
Haa Haa Haa HaaSafari yako utaanzia Iringa au utaenda hadi Sumbawanga kwanza?Natania.
Inaitwa FikoshiKama
Hii IPO itanifaa zaid
Humo ndani ya gari inabid upande na oxygen yako πππWanafungasha mahindi ya kuchemshwa,mtindi,mayai ya kuchemshwa na jusi-kola!ππππ
Itungwe sheria watu wasibugie sana.Wale chipsi kavu kama "muheshimiwa" Magufuli alivyowalisha viongozi pale ikulu wakati wanatengeneza filamu awali kabisa.ππππHaa Haa Haa Haa
Watu Wanakula Karanga, Mayai, Mapachichi, Ndizi, NNumbu Halafu Pepsi Mkubwa Wao Ml 500 TumboLinajaa Kama Mpira Gas Nyingi
Mkuu Njia Hiyo Bus Ni Msimu Siyo UhakikaPanda gar za sumbawanga kigoma then kigoma bukoba
Huko Nimekaa Sheria Haitafanya KaziItungwe sheria watu wasibugie sana.Wale chipsi kavu kama "muheshimiwa" Magufuli alivyowalisha viongozi pale ikulu wakati wanatengeneza filamu awali kabisa.ππππ
Mola awarehemu watu wake!ππππHuko Nimekaa Sheria Haitafanya Kazi
Huko Ni Kubugia Kila Kitu Mpaka Kubwa Ijee