Nomino “Lishangazi” au “Mishangazi” liongezwe kwenye kamusi.

Nomino “Lishangazi” au “Mishangazi” liongezwe kwenye kamusi.

Soft Guy

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
64
Reaction score
149
Kwa hatua tuliyofikia hakuna asiyejua maana ya haya maneno Mishangazi na Lishangazi.

Lishangazi- Umoja.

Mishangazi- Wingi.
 
Kwa hatua tuliyofikia hakuna asiyejua maana ya haya maneno Mishangazi na Lishangazi.

Lishangazi- Umoja.

Mishangazi- Wingi.
umekula lakini mkuu? mchana wote huu unwaza mishangazi
 
IMG-20240728-WA0210.jpg
 
Back
Top Bottom