The Finest, you are truly the finest I could never have thought of this, hizi ndizo taarifa za kiintelijensia za ukweli maana kuna evidence, sasa huyu anamfurahisha nani na hivyo vi-thanks vyake, mwisho wa siku atajichumbia mwenyewe ili aonekane amepata mchumba. asante kwa kunifungua macho, nimebofya thanks na like for the job well done. namshauri (non celebrity=mpigagakelele) atengezeze ID ya tatu. couse hizi tumeshazi-note, but awe smrt asije umbuka tena.
Not interest
Siwezi kumdate
mwanaume ambaye
hana mbavu Za kuja hapa
Na kuomba mwenyewe...
Jamani hii ni
Computer
kama anaogopa kuja
Hapa na kuomba mwenye
Je anaweza kuongea na wewe personal?
Haya ni madharau..
na sifa zake ziko wapi?
Oooo he is just to good?
Jamani mboni wanoko mnaongezeka mwe!
Jamani lukansola ushanikimbizia hivyo, nakwambia nitakuganda wewe shauri lakoMwenyewe katuchokoza, analeta usanii kwenye jumba la sanaa, huoni kaingia mitini, simsikii tena. amepata shock of his life.
Do not ever try afrodenzi, maana communication zote zitakuwa zinapitia kwa mpigakelele, kutakuwa na bureaucracy.
Do not ever try afrodenzi, maana communication zote zitakuwa zinapitia kwa mpigakelele, kutakuwa na bureaucracy.
Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi ambayo inamuwezesha na itaendelea kumuwezesha kukidhi mahitaji yake na ya wale wote wanao na watakaokuwa wanamtegemea.
Masharti yake kwa mchumba anayemuhitaji ni haya yafuatayo:
1. Awe muungwana pia awe na utu wa kujali wengine,
2.Awe mcha Mungu,
3.Awe na heshima kwa wakubwa na wadogo,
4.Awe amejiridhisha kuwa ni msichana asiyependa makuu na mrembo mbele ya wacha Mungu,
5.Awe tayari kuwa mwaminifu katika maisha yake yote kwa Non-Celebrity kama Non-Celebrity atakavyokuwa mwaminifu kwake pia,
5.1 Awe tayari kifikra kukabiliana na hali atayomkutanayo Non-Celebrity, na
6.Awe tayari kuishi maisha ya Kikristo.
Kwa maelezo zaidi unaweza kunitumia sms kupitia JF kwa kutumia " my username MpigaKelele"
Habari zenu wanaJF wa MMU!
Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa l.o.l hayaa mamaThe Finest na Afro hapo juu tafadhalini ee huyu non-celebrity ndio mchumba ambae mungu alinipangia acheni kumkomalia asije kimbia bure mboni wabaya nyie lol, mtanikimbizia bana
kwani ukijisema kuwa wewe ndiye unayetafuta mchumba kuna ubaya gani hadi usingizie nafsi nyingine?
Mnapotoa masharti magumu ya "ideal fiance" mnayemuhitaji, pia mkumbuke kuweka na sifa zenu pia.
L.o.l ahaaa ahaaaaDo not ever try afrodenzi, maana communication zote zitakuwa zinapitia kwa mpigakelele, kutakuwa na bureaucracy.
The Finest na Afro hapo juu tafadhalini ee huyu non-celebrity ndio mchumba ambae mungu alinipangia acheni kumkomalia asije kimbia bure mboni wabaya nyie lol, mtanikimbizia bana
Na Mpigakelele
ye ndo nani ?
Ni bodyguard au receptionist
kwanini akubali kutumiwa kiasi
Hiki?
Mmhhh kwanza nimeambiwa huyu
ni mtu mmoja an ID mbili..
Habari zenu wanaJF wa MMU!
Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
sometimes common sense aint commonhabari zenu wanajf wa mmu!
Mimi ndiye niliyemuomba mpigakelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame mpigakelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi mpigakelele alisahau kulog out aliponiachia pc yake nifungue akaunti ya jf.
@Lukansola & The Finest: Naona mnamtafutia rafiki yangu MpigaKelele sababu ya kufungiwa kutumia JF, hivi kosa lake kutangazania nia yangu kutafuta Mchumba!!,
DAaahhThe higher the monkey climbs the more it shows its.... sasa mpigakelele kusahau ku log out account yake kuna uhusiano gani na wewe ku gonga thanks, the more you try to be smart the more you reveal your level of thinking, na kwa nini umtake mtu akutangazie biashara yako kama unayo account yako mwenyewe, taarifa zako hizi hapa incase huzijui
Join Date : 4th April 2011
Posts : 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0