Jamani lukansola ushanikimbizia hivyo, nakwambia nitakuganda wewe shauri lako
Kama ID ya JF unayo, ulishindwa nini kuingia front mwenyewe? Unajichanganya ndugu.
Yaani mtu muongo utamjua tu utatumiaje ID ya MpigaKelele kugonga kitufe cha LIKE wakati wewe ID yako ni ya Non-Celebrity na hapo kitufe cha LIKE kimeonyesha ID yako ya Non-Celebrity you think you are smart eheeeHabari zenu wanaJF wa MMU!
Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
Jamani lukansola ushanikimbizia hivyo, nakwambia nitakuganda wewe shauri lako
"Kufungua" nilimaanisha kuji"REGISTER"...Chunguza ID yangu kama sijaingia leo JF
@afrodenzi: mwanzoni kabisa ulisema hunitaki, sasa mbona unanizibia kwa wengine?
:bored::bored:Tatizo langu sikusoma vizuri sheria za JF, pia hata terminologies zinazotumika humu nitofauti na nilivyokuwa nazifahamu.
WanaJF naomba mnipe muda nikasome vizuri sheria hizi na jinsi mnavyotumia haya manano"terminologies".
Samahani sana kwa kuwakwaza. Nitarudi Jumatatu nyingine nikiwa nimeelewa vya MMU inavyotumiwa. Ahsanteni
Tatizo langu sikusoma vizuri sheria za JF, pia hata terminologies zinazotumika humu nitofauti na nilivyokuwa nazifahamu.
WanaJF naomba mnipe muda nikasome vizuri sheria hizi na jinsi mnavyotumia haya manano"terminologies".
Samahani sana kwa kuwakwaza. Nitarudi Jumatatu nyingine nikiwa nimeelewa vya MMU inavyotumiwa. Ahsanteni
Amesema anaweza kuongea kama umekidhi vigezo.
Hahahahahahahah
Maty mpenzi unavituko
acha kunichekesha basi..dahhh
Hivi yule
Niliekuonganishia
ulimuachaga wapi?
hahahah lol
Huyu bana na kuhangahika kote kumbe hata sheria za JF hajasomaTHE FINEST & LUNKANSOLA
Hongereni kwa kupata PHD ya u lawyer
Hahahah lol..
dahhh nyie mnaweza mfunga mtu hivi hivi lol
Yaani mtu muongo utamjua tu utatumiaje ID ya MpigaKelele kugonga kitufe cha LIKE wakati wewe ID yako ni ya Non-Celebrity na hapo kitufe cha LIKE kimeonyesha ID yako ya Non-Celebrity you think you are smart eheee
nakukaribisha kwa mikono yote Maty, achana na huyo ataku-lostisha hebu angalia track record yake.
Join Date : 4th April 2011
Posts : 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
haya sasa uamuzi ni wako dia
THE FINEST & LUNKANSOLA
Hongereni kwa kupata PHD ya u lawyer
Hahahah lol..
dahhh nyie mnaweza mfunga mtu hivi hivi lol
Hehehehe afro mubaya wewe yule ulonitafutia akininunulia chungwa anakuja nidai pesa nimrudishie mwenzangu yamenishinda
Hahahahahahahah
Maty kweli we hufai
Daahh nilivyocheka
Mpaka watu wanishangaa
Kazini daahh hii kali
Sasa
Na ubishololo
wote ule kumbe
Mfukoni giza tupu
dahhh
samahani mpenzi.
hahahahahahahah lol
Ahaaa ahaaa Maty banaHehehehe afro mubaya wewe yule ulonitafutia akininunulia chungwa anakuja nidai pesa nimrudishie mwenzangu yamenishinda