"Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

Ama kweli maskini hana chake. Tusio na kitu tusitegemee kupata wenza kutoka nyumba hii.

Khaaaa
jamani wewe
mbona waungilia
Yasiyo kuhusu kabisa..
Embu soma vizuri nilichoandika
Nimesema huyo kijana alikuwa anakufanyia bisho..
 
Khaaaa
jamani wewe
mbona waungilia
Yasiyo kuhusu kabisa..
Embu soma vizuri nilichoandika
Nimesema huyo kijana alikuwa anakufanyia bisho..

Afroo leo hujanisalimu ujue......

Afu nambie mapema ili nikamate mahari fasta: Unamtaka Non Celebrity au MpayukaKelele au wote mmoja?....Usisahau huyo ni mtu mmoja....stuka!
 
Kwahiyo hapa mnajadili namna ambayo Mbwatuka kelele anyotaka kumbashia Asiye Selebriti au mjadala unahus ID mbili?

Babu ako konfyuzdi

Ngoja nami nikafungue ID ya nane.
Babu ukafungue ID ya nane au ID ya 18? l.o.l
 
Mpaka hapo nina wasiwasi juu ya rafiki yangu Non-Celebrity kupata alichotarajia kutoka humu MMU, sababu The Finest na yule mwenzake wana hati miliki ya walengwa woote. Hiyo mada ya ID mbili ni kumpaka matope Non-Celebrity kwani inaonekana sera zake ziliwashtua.
Hawa kutarajia watu wenye nia njema na dada zetu bado wapo dunia hii. Na mimi nilikuwa na mpango wa kumtafuta humu mwenza lakini kwa hili lazima niwe kama paka(curious) kabla zija weka nia yangu hadharani.
 

watu wengine mna mauza uza. Khaa!
 
Hata mimi lazima niwe CURIOUS na wewe kumtafutia member mwenzako mchumba as if he's dumb, halafu huyo huyo anayemtafutia mchumba anakuja kugonga thanks kwenye post za watu mhhh sound dodgy and absurd to me.
 
Hata mimi lazima niwe CURIOUS na wewe kumtafutia member mwenzako mchumba as if he's dumb, halafu huyo huyo anayemtafutia mchumba anakuja kugonga thanks kwenye post za watu mhhh sound dodgy and absurd to me.

Hilo Non-Celebrity alishalieleza , kuwa hakujua hizo term zina maana gani ndio maana anaenda kujiandaa upya namna ya kutumia MMU kwa kuzingatia maneno yanayotumika humu. I don't see a point to go on absurding as mentioned. Na 'if' this forum is existing for just enjoying people who are real in need of what they are searching better say it clearly. I hope you will be enjoying of your mission" kutibua mipango ya watu"
 
Ni kweli mkuu mi nahic jamaa kichwa yake imeshika moto ........yaani ni full utoto .........hahahahaaa!!!.
 
dah! hii kali. yaani non celebrity lina bodyguard (mpigakelele), je likija kuwa selebriti si litakuwa linaeskotiwa na malaika? . khaaaa! huu ni usanii au muvi?
 
mchuma janga hula na...................................????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…