GE2025 Nondo (ACT Wazalendo): Nendeni kupia kura kwani ndo hatma yako kwa miaka mitano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amewataka wapiga kura kote nchini kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu kwa haki na amani na kuchagua viongozi wao kwa makini ili kupata viongozi bora watakaowaongoza kwa miaka mingine mitano na kuleta maendeleo.

Your browser is not able to display this video.
 
Watu wa namna hii snitchiz itachukua miaka mingi sana kuiondoa ccm. Ndio maana yake maigizo ya kutekwa tuliyakataa.
 
ACT wazalendo mimi nawaelewa sana.
Ni wafanya biashara wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…