Pre GE2025 Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wewe nadhani ulishaondolewa hata kwenye daftari la kudumu kupigia kura kwasababu za kiutimamu
 
wewe nadhani ulishaondolewa hata kwenye daftari la kudumu kupigia kura kwasababu za kuitimamau
Kama ni kuondolewa itabidi muondoe wengi sana, na huko kwenye daftari mmbaki na watakaokubali kufanywa mazombie kwa kupoteza muda kwenye mistari ya kura kuongopea Dunia kuwa kuna uchaguzi.
 
Kama ni kuondolewa itabidi muondoe wengi sana, na huko kwenye daftari mmbaki na watakaokubali kufanywa mazombie kwa kupoteza muda kwenye mistari ya kura kuongopea Dunia kuwa kuna uchaguzi.
Yes,
wote wenye shida ya utimamu na walioaga dunia wote wataondolewa
 
Bunge lenyewe la Magufuri,Mahera na Ndugai na akili zao za Kimagufuri.
 
Bunge la Magufuri hovyo kabisaa lipo tu kwa ajili ya kushibisha matumbo na kumsifia Rais na hakuna kingine cha maana hapo.
 
Bunge la Magufuri hovyo kabisaa lipo tu kwa ajili ya kushibisha matumbo na kumsifia Rais na hakuna kingine cha maana hapo.
maoni yako ni yako, ni maoni yako mwenyewe tu, na ni haki yako ya msingi, lazima yaheshimiwe sana, lakini hayawezi kuzuia au kubadili ukweli kwamba bunge la Tanzania linatekeleza wajubu wake muhimu saba, kazi zake nzito sana, na majukumu nyeti sana kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla....

vinginevyo ni maoni na mitazamo ya lawaidatu ambayo ni kitu cha kawaida
 
Kwenda kuongezea wastaafu na wenza mafao na marupurupu,siyo.
 
Bunge lenyewe la Magufuri,Mahera na Ndugai na akili zao za Kimagufuri.
huo ni upotofu,
taasisi hizi ni za umma, na si mali ya mtu binafsi au watu fulani pekee. ....

ni mali huru za waTabzania wote na zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria na katiba ya waTanzania
 
Ficha ujinga wako
 
Sasa wewe unaona hiyo ni sawa chombo cha umma kwenda kutunga sheria za kunufaisha familia zao?
kama wewe umeona sio sawa umeskizwa, lakini wale wengine hususan wabunge waliyo wengi wameona ni sawa.

si ndio demokrasia hiyo, au kwa vile umeona wewe si sawa na wengine nao waone kama wewe, right?
 
Mnangoja Nini?
zoezi linakwenda kwa utaratibu kamanda, sio kwa kukurupuka wala muujiza, ni halisi kabisa, litafanyika mchana kweupe bila chenga na punde litaanza rasmi maeneo yote nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…