Pre GE2025 Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kama wewe umeona sio sawa umeskizwa, lakini wale wengine hususan wabunge waliyo wengi wameona ni sawa.

si ndio demokrasia hiyo, au kwa vile umeona wewe si sawa na wengine nao waone kama wewe, right?
Jambo baya Kitaifa lazima likemewe na raia wote wazalendo.Tulifundishwa kuwa Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe Na Mvunja nchi ni mwananchi mweyewe.Kwa yale unayoyaona sawa kwa sababu yana maslah kwa chama chako na familia yako uko sahihi 100%.Lakini ukumbuke Cheo ni dhamana na Jinai haiozi hata ipite miaka mia kuna mtu atakuja kuifufua tu.
 
nashukuru sana maelezo yako yanaonyesha dhahiri shahiri unaelewa kinagaubaga mambo ya kidemokrasia, mimefurahi sana.....

hayo mawaidha nayo si mabaya, na yanafahamika bayana kwamba nafasi hizi ni za wanainchi, na kinachofanyika ni kuskiza wanainchi na kufanyia kazi maoni yao, sio kuskiza wanasiasa wanasema au wanataka nini kwa mgongo wa sauti wanainchi. ni lazima kua rada, lakini pia kua chonjo kabisa....

my friend ni kujipanga tu, politics is all about interest
 
Mungu akubariki sana,asante.
 
Mwenezi wenu anasema tume huru itaanza kazi 2025, Hilo limepitishwa na Bunge pia?
 
Mwenezi wenu anasema tume huru itaanza kazi 2025, Hilo limepitishwa na Bunge pia?

..ufafanuzi wa alichosema Naibu Katibu Mwenezi wa Ccm ni kwamba Tume Huru ya Uchaguzi iliyoanzishwa hivi karibuni haitasimamia uchaguzi wa 2025, bali wa 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…