Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 60 Jan 3, 2012 #1 Jamani, naulizia wapi nitapata nondo kwa bei POA (10mm au 8mm) kwa ajili ya kujengea madirisha. Nimeishafanya mahesabu na ninahitaji nondo kama 160 hivi. Nyumba inayojengwa iko Boko CCM. Asante.
Jamani, naulizia wapi nitapata nondo kwa bei POA (10mm au 8mm) kwa ajili ya kujengea madirisha. Nimeishafanya mahesabu na ninahitaji nondo kama 160 hivi. Nyumba inayojengwa iko Boko CCM. Asante.