Noorah aliimba uhalisia kabisa, huu ndio ulikuwa mziki wazee

Noorah aliimba uhalisia kabisa, huu ndio ulikuwa mziki wazee

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690

Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent huyu ndiye msanii ambaye aliingia mainstream bila kupitia u underground!
 
Songi linaitwa ukurasa wa pili!

Nyimbo ina mashairi ya kuvutia na ubunifu uliotumika iko kama ni watu wanajibizana katika line😝😝😝! Hatupat vitu vya aina hii sikuhizi ila huu ndio mziki ambao ulibeba identity ya bongo flavour halisi
 
Dah......jamaa alkuwa na kipaji na kwa kipindi hiko utandawazi haukuwa mkubwa kiasi iko lkn walikuwa wanatoa mawe ya kizazi....

Ila now days utandawazi upo lakin wanatoa ugoro sijui hawa wasanii wa siku hz wanakwama wp??
 
Mimi huwa nasemaga huyu jamaa alikua ahead of time. Yani wakati 2004, yeye upeo wake kiuandishi ulikua miaka 15 mbele. We sikiliza dude kama ICE CREAM lile, yale mashairi yamekaa kiutani utani hivi kakini ukiyasikiliza kwa sikio la tatu utagundua yako NEXT LEVEL.
 
Songi linaitwa ukurasa wa pili!

Nyimbo ina mashairi ya kuvutia na ubunifu uliotumika iko kama ni watu wanajibizana katika line😝😝😝! Hatupat vitu vya aina hii sikuhizi ila huu ndio mziki ambao ulibeba identity ya bongo flavour halisi
Muziki wa zamani ulikuwa na swag sana. Check hata Kline feat Noorah
 
Back
Top Bottom