Muziki wa zamani ulikuwa na swag sana. Check hata Kline feat NoorahSongi linaitwa ukurasa wa pili!
Nyimbo ina mashairi ya kuvutia na ubunifu uliotumika iko kama ni watu wanajibizana katika line๐๐๐! Hatupat vitu vya aina hii sikuhizi ila huu ndio mziki ambao ulibeba identity ya bongo flavour halisi