Noordin Haji, mteule wa Rais Ruto kwa nafasi ya Mkuu wa Usalama wa Taifa anasailiwa na Bunge mubashara

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema mnaweza kupata uzoefu wa Katiba Mpya ilivyojengwa kupitia Katiba ya Kenya

Nafuatilia hapa mubashara Citizen TV baadaye nitarudi kwenye Operesheni +255

===========

Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..

Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.
 
Unadhani Bunge la Kenya lina akina Kibajaji na Babu Tale 😄😄😃
 
Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..

Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.

..usaili ufanywe na kamati ya bunge ambayo itakuwa na wabunge na wasaidizi wenye uelewa na sekta husika.

..hapa kuna tume ya maadili ambayo inateuliwa na Raisi na wakati mwingine hafuati ushauri wa tume hiyo.

..mfano mdogo ni jinsi Dr.Bashiru alivyoteuliwa kuwa Chief Secretary. Tukiwa na utaratibu wa Bunge kuhusika ktk usaili uteuzi ule usingefanyika.
 
Bunge sio Chombo Cha kufanyia vetting,huu ni ujinga mwingine mnaotaka kuiga na kuhamishia kwenye Katiba yetu as if hivyo vichwa ni mizigo.
Hata Kamati yetu ya Bunge ya Ulinzi na Mambo ya kimataifa hawabebi tu Mbunge kutoka Usafwani huko, vigezo na Masharti huzingatiwa bwashee 😄😄
 
..usaili ufanywe na kamati ya bunge ambayo itakuwa na wabunge na wasaidizi wenye uelewa na sekta husika.

..hapa kuna tume ya maadili ambayo inateuliwa na Raisi na wakati mwingine hafuati ushauri wa tume hiyo.

..mfano mdogo ni jinsi Dr.Bashiru alivyoteuliwa kuwa Chief Secretary. Tukiwa na utaratibu wa Bunge kuhusika ktk usaili uteuzi ule usingefanyika.
Tume ya maadili ndio iwekewe utaratibu wa kuwa independent,sikubaliani na usali wa Bungeni iwe kamati or anything like that.
 
Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..

Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.
Wabunge wa Kenya wana elimu kuliko wa kwetu ambao sifa yao kuu ni kujua kusoma na kuandika.
 
bro, kuwa mbunge Kenya, lazma uwe na degree from a reputable institution.
Tanzania ukijua kusoma A e I o u we mbunge tayari. Unasuburia kura za wizi tu basi....

Tanzania kuwa dereva unatakiwa angalau uwe na cheti cha kidato cha nne na leseni ya udereva.... Ili ukamuendeshe anayejua kusoma na kuandika....
 
Back
Top Bottom