johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..Chadema mnaweza kupata uzoefu wa Katiba Mpya ilivyojengwa kupitia Katiba ya Kenya
Nafuatilia hapa mubashara Citizen TV baadaye nitarudi kwenye Operesheni +255
Unadhani Bunge la Kenya lina akina Kibajaji na Babu Tale 😄😄😃Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..
Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.
Bunge sio Chombo Cha kufanyia vetting,huu ni ujinga mwingine mnaotaka kuiga na kuhamishia kwenye Katiba yetu as if hivyo vichwa ni mizigo.Unadhani Bunge la Kenya lina akina Kibajaji na Babu Tale 😄😄😃
Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..
Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.
Hata Kamati yetu ya Bunge ya Ulinzi na Mambo ya kimataifa hawabebi tu Mbunge kutoka Usafwani huko, vigezo na Masharti huzingatiwa bwashee 😄😄Bunge sio Chombo Cha kufanyia vetting,huu ni ujinga mwingine mnaotaka kuiga na kuhamishia kwenye Katiba yetu as if hivyo vichwa ni mizigo.
Tume ya maadili ndio iwekewe utaratibu wa kuwa independent,sikubaliani na usali wa Bungeni iwe kamati or anything like that...usaili ufanywe na kamati ya bunge ambayo itakuwa na wabunge na wasaidizi wenye uelewa na sekta husika.
..hapa kuna tume ya maadili ambayo inateuliwa na Raisi na wakati mwingine hafuati ushauri wa tume hiyo.
..mfano mdogo ni jinsi Dr.Bashiru alivyoteuliwa kuwa Chief Secretary. Tukiwa na utaratibu wa Bunge kuhusika ktk usaili uteuzi ule usingefanyika.
Hiyo Kamati iishie Bungeni sio kufanya usailiHata Kamati yetu ya Bunge ya Ulinzi na Mambo ya kimataifa hawabebi tu Mbunge kutoka Usafwani huko, vigezo na Masharti huzingatiwa bwashee 😄😄
😂😂😂Hiyo Kamati iishie Bungeni sio kufanya usaili
Wabunge wa Kenya wana elimu kuliko wa kwetu ambao sifa yao kuu ni kujua kusoma na kuandika.Ndio maana tunasema hii ni mifumo ya hovyo huko Kunyaland..
Wabunge ndio Wana taaluma ya kujua uwekedi wa Kiongozi?
Ujinga wa hivi usiwekwe kwenye Katiba yetu,Bora tuwe na Tume ya maadili na vetting ndio wafanye usajili wa watu wanaopendekezwa.
😃😃Huku kigezo Chao kikubwa utasikia asiwe mchaga au mhaya
ThibitishaWabunge wa Kenya wana elimu kuliko wa kwetu ambao sifa yao kuu ni kujua kusoma na kuandika.
Hatujamuona kabisa.Chadema mnaweza kupata uzoefu wa Katiba Mpya ilivyojengwa kupitia Katiba ya Kenya
Nafuatilia hapa mubashara Citizen TV baadaye nitarudi kwenye Operesheni +255
Tume ya maadili ndio iwekewe utaratibu wa kuwa independent,sikubaliani na usali wa Bungeni iwe kamati or anything like that.
Hatutaki ukabila hapaHuku kigezo Chao kikubwa utasikia asiwe mchaga au mhaya
bro, kuwa mbunge Kenya, lazma uwe na degree from a reputable institution.Thibitisha
Tanzania ukijua kusoma A e I o u we mbunge tayari. Unasuburia kura za wizi tu basi....bro, kuwa mbunge Kenya, lazma uwe na degree from a reputable institution.
Tunao wenye degree wengi tuu ambao ni wapuuzibro, kuwa mbunge Kenya, lazma uwe na degree from a reputable institution.
I understand! only in Tanzania ndio utapata mtu yuko na degree ila ikifika ni wakati wa kutema yai, hali inakua teteTunao wenye degree wengi tuu ambao ni wapuuzi