Normal glycated haemoglobin

Normal glycated haemoglobin

Amakando

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
158
Reaction score
30
Naomba kujuzwa kiwango cha kawaida cha glaycated haemoglobin,nini madhara endapo inakuwa low
 
Naomba kujuzwa kiwango cha kawaida cha glaycated haemoglobin,nini madhara endapo inakuwa low

Glycosylayed Hb(HbA1c)...huelezea kiwango (kwa asilimia) cha chembe nyekundu za damu kuwiana na sukari(glucose) kwa muda wa maisha yake(siku 120).
Kwa kawaida 4-5.9%

Hupungua katika hali, ya kuvuja damu nyingi na kwa muda mfupi(Acute blood loss)-falsely lowered!
 
Back
Top Bottom