Glycosylayed Hb(HbA1c)...huelezea kiwango (kwa asilimia) cha chembe nyekundu za damu kuwiana na sukari(glucose) kwa muda wa maisha yake(siku 120).
Kwa kawaida 4-5.9%
Hupungua katika hali, ya kuvuja damu nyingi na kwa muda mfupi(Acute blood loss)-falsely lowered!