KERO North Mara Community Trust Fund inachokifanya kwa sasa ni hujuma kwa jamii

KERO North Mara Community Trust Fund inachokifanya kwa sasa ni hujuma kwa jamii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Taasisi ya North Mara community trust fund. Iliyopo wilayani Tarime kuna mambo yanayoendelea yasiyo ya haki hasa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali walio chini ya mpango wa maendeleo endelevu.

Wamekuwa wakilipiwa ada na taasisi hiyo lakini kwa mwaka huu ulipaji huo umekuwa wa mashaka sana kwa kuchelewa kulipa na kulipa pesa isiyotosheleza jwa muhula wa kwanza.

Lakini pia muhula wa pili waliwataka wanafunzi wote walio chini ya mpango huo kutuma taariza zao ikiwa ni jina kamili chuo na kiasi wanachohitaji kukamilishiwa. Lakini mpaka sasa zoezi hilo la uwekaji pesa halijafanyika ukizingatia kuwa vyuo vingi vinakaribia kukamilisha mitihani ya mwaka.

Screenshot_20240711-195837.png
 
wapenda vya bure
ukute hata hutokei vijiji vinavyostahili huo ufadhili
kwa taarifa yako wengi wa wafadhiliwa ni fake, kwa maana ni wamepata kwa hongo
 
Back
Top Bottom