Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Nchini Norway sasa yaja na basi lisilo na Dereva urefu hivyo litajiendesha lenyewe kwa kutumia technology na hakutakuwa pia na hata makondakta hivyo basi litakuwa linasima kwa kila kituo na litakuwa na sensor kama kuna mtu mlango hautajifunga na kila kituo mlango.
Utajifungua na kusimamia kwa dakika kazaa kwa ajili ya kuchukua abiria basi hilo lina mita 8 pamoja na siti 26 hivyo hivyo basi hilo litakuwa rasmi kutumika mwezi wa nne mwaka huu na baada litaanza kutumika kwa kupakiza wasafiri 50 wa majaribio na watalipwa kwa ajili ya kuwa wasafiri wa majaribio pia kutakuwa na dereva wa majaribio kwa ajili ya kusaidia endapo basi litakosa au kupungukiwa control
Basi hilo litaendeshwa kwa mfumo wa umeme na technology