Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Norway ambayo ni moja ya nchi tatu zilizoamua kulitambua taifa la Palestina imesema uamuzi wake huo ni kuendana na makubaliano yaliyofikiwa nchini mwake mwaka 1993.
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini White house nchini Marekani yalifanyika mwak 1993 wakati wa uongozi wa Yasser Arrafat na Bill Clinton pamoja na Yitzak Rabin wa Israel.