HujaelewekaKuna mpango unaanza kusukwa taratibu na bwana mkubwa marekani ili kupata mataifa mawili au? Norway,spain na ireland hawawazi kukurupuka kuitambua palestina tena kwa pamoja bila mkono wa marekani, marekani hataki kuipoteza israel wala washirika wake baadhi mataifa ya kiarabu Yanayoisapoti palestine, marekani ni muhini sana
Mipaka inayotambulika na mkataba wa Oslo ni ile ya 1967.Kwa sasa maeneo mengi aliachiwa Israel akaingiza masetla kutoka nje.Mipaka ya Palestine ni ipi? Je wanatambua Nini Cha Palestine?
Maana kwa mujibu wa propaganda za Israel na wenzake Palestine yote ni magaidi