NOT FOR PROFIT COMPANY ndio nini!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Huwa nasikia kuna makampuni yasiyotengeneza faida hivi ni makampuni ya aina gani haya na usajili wake unakuwaje ....mifano na kama yapi !
 
Hizi kwa jina jingine ni NGOs unaweza sajili jama kampunim mfano wake ni kama vile PASS LTD, RLDC wako dodoma hawa, FAIDA MALI CO LTD wako Arusha hawa.
 
shughuli za msingi za kampuni hiyo hazijalenga katika kupata faida ,huduma kwanza ila wanaweza kupata kipato cha ziada ambacho huwa termed kama "excess of income over expenditure"
 
Huwa nasikia kuna makampuni yasiyotengeneza faida hivi ni makampuni ya aina gani haya na usajili wake unakuwaje ....mifano na kama yapi !

Mkuu haya mambo ya kiuhasibu ndio kazi yetu kushauri mkuu!!!!

Unajua mkuu biashara rasmi ipo katika mafungu matatu

1.sole propriatorship
2.patnership
3.company

Sasa mafungu yote yaliyotajwa hapo juu ni "for profit organizations", kwa hio km biashara haijakuwepo ndani ya hayo makundi hapo juu ndio sasa tunaita "non for profit organization" na sio "non for profit companies"; hakuna company ambayo ipo kwenye kundi la non-for profit hata hz parastatal organization zipo for profit as well though they are subdized!!!

WHY no for profit organization?
Hz mara nyingi ni kutokana na aina ya shughuli wanazojishughulisha na nyingi ni masuala ya kutoa huduma kwa jamii, yaani kwa kifupi they dont engage in trading.......ama kiurahisi hawauzi wala kununua, wanaendeshwa kwa mfumo wa misaada zaidi. Mifano iliyo hai zaidi ni NGO's!!!!!!!

Kwa mengi zaidi niPM mkuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…