Not yet confirmed lakini chuo washatoa second selection na jina halipo

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni NOT YET na chuo cha SAUTI washatoa majina ya selection ya pili na jina lake halipo. Inakuaje hapo
 
Mmmm! Hapo sasa anaweza kuwapigia nacte wamjulishe. Kwa nn awe selected then washindwa Ku confirm hapo sauti
 
habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni NOT YET na chuo cha SAUTI washatoa majina ya selection ya pili na jina lake halipo. Inakuaje hapo

tokea awe SELECTED umepita muda gani?
 
habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni NOT YET na chuo cha SAUTI washatoa majina ya selection ya pili na jina lake halipo. Inakuaje hapo

asubr kwan hawa jamaa wanatoa na third selection
 
Sasa hapo ni shida mimi kwangu ilisema selected na university of iringa,waka confirm but baada ya wiki status yangu imerud not yet confirmed na majina ya chuo yametoka jiba langu halipo. Tcu na nacte hawajajipanga vizur akat wanaotaka kusoma ni wengi na muda wa kufungua vyuo umefka sasa hapo inakuwaje na namba zao za simu ukizitafuta unaambiwa hazipo kabisaaaa!!! Duhhh
 
hawaoni kama watatuumiza????? pia mkopo tutapata kwa hali hiyo?????

Kuna reply kutoka nacte nimeona kwenye facebook yao wakidai kwamba hilo swala la confirmation lipo chuoni mojakwamoja hata kama umechaguliwa dakika hii chuo kinaaceess na details zako hapohapo zo nijukumu lao kukuconfirm na ukiwa confirmed nawe unaona hapo hapo
 
Je huwez kuwa selected na nacte ila chuo wakakataa kukuconfirm? Na vp kuhusu mkopo? hawatachelewa kupeleka majina bodi ya mikopo?
 
The same problem happened to my fellow. Alipangiwa ISW na TCU, nimeangalia majina ya ISW leo na lake halimo
 
Naomba msaada mm nimeandikiwa selected kiu registration lini
 
Back
Top Bottom