1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni NOT YET na chuo cha SAUTI washatoa majina ya selection ya pili na jina lake halipo. Inakuaje hapo

tokea awe SELECTED umepita muda gani?
anasema kama wiki hivi ndo aliandikiwa SELECTED
kuna mtu aliniambia mpaka kuconfirm inaweza kuchukua mpaka wiki 2,
hawaoni kama watatuumiza????? pia mkopo tutapata kwa hali hiyo?????
Kuna reply kutoka nacte nimeona kwenye facebook yao wakidai kwamba hilo swala la confirmation lipo chuoni mojakwamoja hata kama umechaguliwa dakika hii chuo kinaaceess na details zako hapohapo zo nijukumu lao kukuconfirm na ukiwa confirmed nawe unaona hapo hapo
Aisee mwenyewe batch 3 ya udom atupie tuone