Ninacho jua kama simu ime haribika na wewe hukuharibu basi warranty inafanya kazi either ubadilishiwe au utengenezewe, sasa hii yako haina warranty?Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa
Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen
Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen
Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi maarufu wa electronics)
Anataka nilipe 1.2 kubadili kioo
Kama kuna mwenye anataka kununua note 20 ultra ajitafakari kabla ya kuinunua
Screen black out ni tatizo common kwa hizo simu
aiseeInayo ila niliponunua wanasema warranty haikavi kioo, hapo ndio nnaposhindwa kuelewa