Note book Tz 2030

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
1,830
Reaction score
8,636
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.

Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.

Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo

Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua

Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo

Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako

Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua

Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively

Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana

Nawakumbisha msisahau KUHOJI
 
Nilichogundua ni kwamba mdomo nao una ZIPU
 
Mh Rais Samia Suluhu Hassan , binafsi Nina imani na wewe kwa sasa kwa kuwa umeziona shida na kuzitatua. Naomba endelea kutatua shida zilizosalia bila uoga, sisi tunataka uwajibikaji wenye kuleta maendeleo kwa wananch na Taifa letu kwa ujumla. Mungu akusaidie na kukulinda wakati wote.
 
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.

Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.

Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua

Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo

Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo

Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako

Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe,

uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua

Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively

Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana

Nawakumbisha msisahau KUHOJI📖
 
Kwanza salam sana ama baada ya salam Sisi ni wazima.

Mkuu binafsi nashukuru sana kukusoma na nimeamini bado upo hai. Nimesikitishwa pakubwa sana na upole huu uliokuja nao pole sana Yoga huenda ulikokuwa wamekutenda isivyo. Ila Mungu wetu ni mwema nina imani kubwa utakuwa sawa na kurudiwa na uchangamfu wako wa usimuliaji kama wakati wa Dark days. Karibu sana jukwaani karibu sana nyumbani na hapa ndo home of great thinkers where we dare to talk openly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…