Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujuzwa aina bora ya note counting machines ambazo ni ideal kwa biashara ndogo ndogo. Nitashukuru nikielezwa pia wapi zinapatikana kwa dar es salaam. Shukrani saaaanaaa!
Sina uzoefu na hili lakini nimekuwa nikiona kwenye baadhi ya mabenki wanatumia hizi machine ambazo inaonekana kama wamekodisha kutoka BMTL maana zimeandikwa "property of BMTL". Kwahiyo fika hapo BMTL Karibu na NMB makao makuu wanaweza kukupa ushauri zaidi.