Sina uzoefu na hili lakini nimekuwa nikiona kwenye baadhi ya mabenki wanatumia hizi machine ambazo inaonekana kama wamekodisha kutoka BMTL maana zimeandikwa "property of BMTL". Kwahiyo fika hapo BMTL Karibu na NMB makao makuu wanaweza kukupa ushauri zaidi.