Maisha ni magumu sana, hasa kwa wakulima. Ukiangalia msimu wa mavuno ni balaa, watu wanapeleka noti bandia vjjn kwenda kununulia mazao!!!! mkulima anapoenda nazo mjn kwenda kununua bati inakuwa taabu! Na pale Tunduma wamebadili geear na kuanza kutengeneza dolari za marekani!!