Wakuu!
Binafsi natumia atm za Umoja,na NBC,,,Mwenzi wangu anatumia CRDB na NMB....Katika ATM zote hizo hatujawahi kukutana na noti mpya!
Nauliza hivi ni kweli noti mpya hazipatikani kwenye ATM mashines? Na tatizo ni nini? AU hizi note haziko compatible na atm zetu......kuna nini hapo!
pesa zilianza kutumika january mpaka leo mabenk hawazitumii kwenye ATM...mfano NBC, NMB, Exim, DTB ukitoa ambayo umeconfirm kwamba wanatoa...Mkuu!!
uliyo nayo ni dhana tu na kwa bahati mbaya haiko sahihi,fedha mpya zinapatikana tu kwenye ATM kama kawaida..binafsi natumia CRDB na latest ni jana (tar 4/4/2011) nime-draw noti mpya toka kwenye ATM ya CRDB..waliokwambia wamekurupuka hoja yao haina mshiko.
Mkuu!!
uliyo nayo ni dhana tu na kwa bahati mbaya haiko sahihi,fedha mpya zinapatikana tu kwenye ATM kama kawaida..binafsi natumia CRDB na latest ni jana (tar 4/4/2011) nime-draw noti mpya toka kwenye ATM ya CRDB..waliokwambia wamekurupuka hoja yao haina mshiko.
Wakuu!
Binafsi natumia atm za Umoja,na NBC,,,Mwenzi wangu anatumia CRDB na NMB....Katika ATM zote hizo hatujawahi kukutana na noti mpya!
Nauliza hivi ni kweli noti mpya hazipatikani kwenye ATM mashines? Na tatizo ni nini? AU hizi note haziko compatible na atm zetu......kuna nini hapo!
pesa zilianza kutumika january mpaka leo mabenk hawazitumii kwenye ATM...mfano NBC, NMB, Exim, DTB ukitoa ambayo umeconfirm kwamba wanatoa...
Je una weza kutuambia kwanini wamechelewa kuanza kuzitumia kwenye ATM wakati ukienda kaunta uwanakupa note mpya..ukishindwa kujibu basi wewe ndiyo umekurupuka na siyo mtoa mada....
Kwani hizo noti mpya zina thamani tofauti na noti za zamani au unatakajeWakuu!