CHESEA INGINE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 200
- 48
Wana jf, nimeona hizi noti mpya za elfu kumi zina usawa wa ukubwa sawa na noti ya elfu mbili ya zamani! Tahadhari kwa wale wanaotumia money counting machines! Zikichanganywa na za kumi zinahesabiwa kama kawaida. Kuweko na umakini mkubwa unapotumia hizi machine kuhesabia noti za kumi kumi. Sijui hii ni habari mpya au? Nawasilisha.