Mkuu hilo jicho ukiangalia vizuri kuna vijumba, sasa maana yake ni nchi zenye utajiri mkubwa duniani (ambazo ni chache), zipo kuamua au kufikiria kwa nchi maskini zifanye au zisifanye nini. Ndio maana hata nchi maskini zikiwa na mafuta kuyachimba lazima nchi tajiri zitoe go ahead. Jicho limeangalia chini ya pyramid na kwenye pyramid kuna vijumba vingi sana (ambavyo ndio nchi maskini duniani). Ndio maana vikwazo vya kiuchumi katika nchi husika vinawekwa na nchi tajiri. Na pia Nchi tajiri kura yake moja niya muhimu sana. Kwa kifupi hilo jicho ni nchi tajiri.