Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake .
Kwa maana rahisi
“Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.”
Watu wakifa hakuna kurudi tena kama dunia yote wangetambua hilo kusingekuwa na mauaji wala Vita .
Itatokea vita au mauaji baadae hata mkigundua kulikuwa na makosa hakuna namna ya kurudisha mtu au watu hao .
Miaka mingi imepita baada ya hii miamba kutoweka lakini mauaji hayaja pungua na vita zinapamba moto .
So never wish death upon no one .
Hii ni kwa wote hata wale wanaochoma na kuua vibaka /wezi .
RIP B.I.G and 2 pac