Mimi pia especially kwa sasa. Wakati ule ujana nilifurahi kuwa kisasi kimelipwa ila kwa sasa na utu uzima huu na baada ya facts kuwa wazi ndio kinaniuma zaidi.
Mimi pia especially kwa sasa. Wakati ule ujana nilifurahi kuwa kisasi kimelipwa ila kwa sasa na utu uzima huu na baada ya facts kuwa wazi ndio kinaniuma zaidi.
Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake . View attachment 3061017
Kwa maana rahisi
“Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.”
Watu wakifa hakuna kurudi tena kama dunia yote wangetambua hilo kusingekuwa na mauaji wala Vita .
Itatokea vita au mauaji baadae hata mkigundua kulikuwa na makosa hakuna namna ya kurudisha mtu au watu hao .
Miaka mingi imepita baada ya hii miamba kutoweka lakini mauaji hayaja pungua na vita zinapamba moto .
So never wish death upon no one .
Hii ni kwa wote hata wale wanaochoma na kuua vibaka /wezi .