NOVAGE MEN

NOVAGE MEN

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,001
Reaction score
1,591
[8/9, 18:05] mwangosaid: *PURIFYING EXFOLIATING CLEANSER*

*SPECIAL FOR MEN*

-Hii ni sabuni special kwa wanaume ya kuoshea uso..

*Uchunguzi unasema ngozi ya mwanaume huchelewa sana kuonesha dalili za uzee lakini mara zinapoanza kuja huja kwa kasi na speed tofauti na mwanamke hivo kuna umuhimu wa kuitunza ngozi na kuijali mapema izieeke kwa kasi*


[emoji184]Cleanser hii imetengenezwa na Mkaa na inavipeke vya asilia vidogo vidogo ambavo hutumika kama scrub na hivo husaidia sana wakati wa kuosha ngozi kwani vitundu vya ngozi na kusafisha na kutoa mafuta machafu lakini pia husaidia kuondoa cell za ngozi zilizokufa..

[emoji184]Mkaa umegundulika kuwa na hutumika sana kwenye mambo ya vipodozi hii kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuweza kunyonya uchafu uliopo juu ya ngozi na ndani ya ngozi..Na hivo huacha ngozi ikiwa safi kabisaaa..

[emoji184]Hii cleanser ni ya kipekee hasa kama mtu hataki kushine mafuta na ni moja ya sehemu ya set ya Novage men..


[emoji294]Bei ya mteja 39,000/=

Set nzima ya novage yenye vitu 4

211,200/= bei ya mteja*


NOVAGE MEN ENERGISING &HYDRATING BOOSTER*

[emoji184]Hii ni lotion nyepesi kabisaa ambayo haswa imetengenezwa maalum kwa ajili ya kuhakikisha inapenya hadi kwenye ngozi ya ndani kabisa ya uso wa mwanaume...

[emoji184]Imechanganywa vimelea vy kisayansi vya Coffea Bengalensis na Boabab...
Vimelea hivi husaidia kuipa ngozi unyevunyevu na kuziamsha cell za ngozi zilizochoka na hivo kusaidia ziweze kuanza kufanya kazi kwa ufasaha zaidi na kusaidia ngozi isizeeke...

[emoji184]Lakini pia husaidia kuifanya ngozi isitepete na vitundu vya ngozi visiongezeke upana na hivo ngozi ujikaza na kuwa ya ujana..

*BOOSTER NI MUHIMU KUTUMIA KWASABABU KATIKA SET YA NOVAGE FOR MEN HII BOOSTER NDO IMEWEKWA VIMELEA HUSIKA PEKEE TOFAUTI NA LOTION KUNA VITU VINGINE INAKUA IMEONGEZEWA HIVO NI MUHIMU HASA KUTUMIA BOOSTER KABLA YA LOTION ILI UPATE HASA ZILE INGREDIENTS MUHIMU KWA NGOZI*

[emoji184][emoji184]Imetengenezwa hivi ili iweze kusaidia Lotion ifanye kazi yake vizuri.


[emoji184]Bei ya mteja:89000/=

Kwa mawasiliano whatsapp me 0759827138
IMG-20180809-WA0015.jpg
IMG-20180809-WA0013.jpg
 
Mambo ya ulimbwende haya! Bidhaa nzuri sema timing mkuu.

Lakini hongera sana. Pongezi kwa kazi nzuri pia.
 
Back
Top Bottom