Novak Djokovic mtoto wa Mama ntilie aliyekataa mamilioni ya Waingereza kwa ajili ya taifa lake Mama

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
Ilikuwa ni Ijumaa ya Tarehe 22 mwezi wa tano mwaka 1987 , siku yalipotokea mauaji ya kimbali mjini Hashimpura nchini India na watu 350 waliuawa, sababu za itikadi za kidini zikitajwa.

Lakini Mjini Belgrade nchini Serbia Siku hii Wazazi wawili wafanyabiashara ya chakula, Srdan na Dijana walipokea zawadi kubwa kutoka kwa Mungu.

Zawadi hiyo ni Mtoto mwenye Kipaji kikubwa cha kucheza Tennis, na wakamwiita Novak, ilikuwa ni Familia yenye uwezo wa kawaida sana kimaisha, ilimradi tuu siku zinakwenda.

Novac alianza kucheza mchezo huo akiwa mdogo sana, umri wa miaka minne. Wakati huu bado maisha yalikiwa hayaridhishi nyumbani kwao, na nyota yake ilianza kung'aa mapema mwaka 1993 alipokuwa na maika Sita tuu.

Ilikuwa ni katika milima ya Kopaonik, sehemu ambayo wazazi wa Novac walikuwa wakifanya Biashara ya chakula "mama ntilie".

Alifika mcheza Tennis nguli wa nchi hiyo kwa kipindi hicho Jelena Gençic ambae alistaajabu sana kuona kijana wa miaka sita akishika racket (kifaa cha kuchezea tennis) kwa umahili wa hali ya juu mnoo, na alimfananisha uchezaji wake na gwiji Monica Seles.

Jelena Gençic alimchukua Novac na kuanza kumfundisha, alionekana kukua kiwango kwa haraka sana, na baadae akawasiliana na Nicola Piliç ambae alikuwa anamiliki Shule ya Tennis "Accademy" iliyokuwa inaitwa Piliç Tennis Academy nchini Ujerumani.

Akiwa mjini Oberschleibheim, Nchini Ujerumani aliendelea kufanya vizuri siku hadi siku, na kuwavutia mascout kutoka mataifa Mbalimbali barani ulaya.

Mwaka 2001 akiwa bado yuko Piliç academy, alianza karia yake ya kimataifa kwa ngazi ya Vijana, na Alichukua ubingwa wa Ulaya kwa mchezaji mmojammoja (single), lakini pia alifanya vizuuri sana kwa michezo ya kitimu.

Hapa ndipo Dunia ya wapenda Tennis ilipoanza kujua uwepo wa Jina la kijana mwenye umri wa miaka 12 kutoka Serbia.

Kama ilivyo kawaida kwa Waingeleza , kutafuta vijana wenye vipaji mbalimbali na kuwashawishi kubadili uraia, swala hili lilimkuta pia Novac Djokovic, Baada ya kumaliza michuano hiyo Mwaka 2001.

Watafuta vipaji raia wa uingeleza walifunga safari kwenda Belgrade kwaajili ya kuwashawishi Novac na Wazazi wake kukubali dili la kubadili uraia, yaani wakikubali mwanao kubadili uraia tuu watapata chochote wanachokihitaji.

Kilikuwa ni kipindi kigumu kwa wazazi na mtoto wao kuamua kati ya mambo mawili, kukubali ofa ya kubadili uraia ili wamalize matatizo ya familia au wawe wazalendo kwa nchi yao na waendelee kuishi maisha ya kubangaiza.

Novak Djokovic lipokuwa akiongea na waandishi wa Habari, alieleza ugumu wa kufanya maamuzi wakati huo, akisema "it was a very tempting Offer".

Mama wa mchezaji huyo alikataa katakata ofa hiyo. Yalikuwa ni maamuzi ya kizalendo mno yaliyofanywa na Familia hiyo, hawakuwa na Tamaa ya pesa na maisha mazuri waliyoahodiwa na Waingeleza, Dijana alikaririwa na vyombo vya habari akisema "Niliamini mwanangu anaweza kufanikiwa hapahapa nyumbani bila hata kwenda Uingeleza".

Novac alikataa kwenda Uingeleza kwasababu hakutaka kuwaacha marafiki zake , Lugha yake na nchi yake kwaajili ya pesa, aliamini atafanikiwa akiwa kwao na atavunja rekodi nyingi duniani.

Kadiri miaka ilivyozidi kwenda Novac Djokovic aliendelea kuwa mchezaji mkubwa sana Duniani kwa kuchukua mataji mengi makubwa. Ndoto yake ya kufanikiwa akiwa Raia wa nchi yake zimetimia.

Novak Djokovic ni mchezaji wa kwanza raia wa Serbia kuwa namba moja kwa ubora Duniani, na mpaka sasa ndiye anaeshika nafasi hiyo kwa upande wa wanaume kuanzia February mwaka huu.

Ametwaa mataji yote makubwa (Grand slams), Australian open 8, US open 5, Wimbledon 3, na French open 1, Jumla anamataji 17 makubwa.

Ndiye mchezaji aliyefanikiwa zaidi kwenye Tennis nchini Serbia, Ametimiza ndoto, alikuwa na Subira na hakuwa na Tamaa.
 
Daaaaah Ndefu Sana Hii.
 
Picha ni muhimu sana mkuu.
Lakini hongera kwa uzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule jamaa anayetokea uswis jina lake limenitoka...jamaa anacheza tennis sijawahi kuona
 
Back
Top Bottom