Novatus Dismas Miroshi atua Shakhtar Donestk Ukraine, kukipiga ligi ya Mabingwa (UEFA)

Vladivostok

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
307
Reaction score
1,387
Mtanzania Novatus Miroshi ametua Ukraine katika Klabu ya Shakhtar kwa mkopo kutokea zulte waregem ya ubelgiji.

Hii itampa fursa ya kukipiga UEFA ambapo wamepangwa na barca, porto na royal antwerp ya ubelgiji.

Kongole kwa mtanzania mwenzetu afu jamaa umri bado unadai.
 
hivi Ukraine bado kuna maeneo hata mpira wanacheza? nilijua vita ipo kila sehemu. sasa kama bado yapo maeneo salama inakuwaje wakimbizi wamekimbilia san aulaya?
 
hivi Ukraine bado kuna maeneo hata mpira wanacheza? nilijua vita ipo kila sehemu. sasa kama bado yapo maeneo salama inakuwaje wakimbizi wamekimbilia san aulaya?
Wanatumia Germany Kama uwanja wao wa nyumbani , Kwahiyo dogo akikipiga kisawasawa timu za bundesliga kina Bayern munich zinaweza kumchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…