Mimi ni kijana wa miaka 22,napenda UANDISHI na ni mwandishi wa riwaya na hadithi fupi za kimagharibi(Western) yaani world wide mfano Nina story inayoitwa THE OLYMPUS, setting yake ni BEFORE CHRIST ( B C ) na nyingine 20 pia story za African societies ninazo pia, sijasambaza wala kuuza hata kitabu kimoja, pia ninauza story manuscript kwa wanaohitaji ππππ
(255) 760 33 0 133 Au (255) 655 794 157.
All in all natafuta msaada wa kuendeleza na kufikia ndoto zangu,Ahsante