nakubali kwamba unaweza kuchukua vitu kwa uhalisia wake lakini kwenye saikoloji kuna kitu kinaitwa classical conditioning ambapo mtu anajenga tabia without being conscious na hapo ndio penye tatizo.Red Giant, Tatizo sio novels, ni setting yenu toka mwanzo! Novel zinaweza kukuongoza na kujua what to expect and sometimes what not to expect! Suala la msingi ni kutochukulia kila kitu kilivyo - context ni muhimu kuzingatiwa!
Nata, don't complain we are together, na hivyo avatar yako imelenga what I was looking for! Ni pm
teh teh .........
kweli shida ndio nying lakini hayo manovel na matamthilia ya kivenezuela yana tublind tusione hizo shida!Hivyo unafikiri ndowa inaletwa na stori? Ndowa ni uamuzi wa mtu ambao mara nyingi hufanywa baada ya kupima mambo mengi. Tena wala usifikiri kuwa ndowa inamea kwenye raha tu bali panapo makubaliano humea pia kwenye shida na kwa maisha yetu yalivyo hizo ndio nyingi.
Mie ndio zimeniathiri kabisa nimekuwa muumini wa hizi kitu na natafuta patners wa kwenye novel siwapati,
Yaaninadhani ntaishia kuwa alone.
[SUB]kwanini?. Novel na tamthilia nyingi huonyesha wapenzi wakipata shida sana kabla ya ndoa, halafu huishia kuoana na
kuishi raha mustarehe yaani wakioana mwisho wa matatizo! na watu wengi huanza kuamini hivyo. kivumbi wakiingia
kwenye ndoa vitu ni tofauti na walivyo fantasize hapo ndipo migogoro, kutoridhika, kukosa raha na divorce huanza.
uzuri huwa sisomi wala kuangilia hayo masuala! ole wao wayapendao mambo hayo maana siku za ndoa zao zinahesabika.[/SUB]