LGE2024 November 27 itakuwa CCM na Vyama Rafiki vs CHADEMA Maridhiano

LGE2024 November 27 itakuwa CCM na Vyama Rafiki vs CHADEMA Maridhiano

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa namna hiyo CCM lazima ipate ushindi wa 98.5%

ACT Wazalendo ni Chama tawala pamoja na CCM

Vyama vingine vyote ni Vyama Rafiki wa CCM

Chadema Maridhiano ni Chama Shirika na CCM

Chadema Lialia ndio wameenguliwa kupunguza mbambamba Uchaguzini

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Back
Top Bottom