November ni Islamophobia awareness month, Islamophobia ni nini?

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Islamophobia ni nini?

Na nini haswa lengo lake?

Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu.

But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu?

Kwani Uislamu una mafundisho gani ya kufanya watu wawe na hofu?
Na je, waislamu wenyew wamefanya nini hadi watu waogope mafundisho yao?

Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu, but waislamu wana define kama "Chuki" dhidi ya mafundisho ya kiislamu, kwann wanai-define hivi? Naweza sema maybe either hawajui kutofautisha kati hofu na chuki, au hawajui maana halisi ya neno "Phobia", ambalo linamaanisha "fear", which then translates to kiswahili "Hofu"

Lengo la kampeni ya Islamophobia hasa kweny huu mwezi mahususi wa "Islamophobia awareness Month" ni ku-rise na kuongeza awareness juu ya maswala ya ubaguzi dhidi ya mafundisho ya kiislamu na maneno yasiyofaa dhidi ya mafundisho ya mtume.

kampeni ya Islamophobia imewalenga sana wakristo, wayahudi na Hindus kuliko jamii zingine zozote, kwann? Je ni kwasababu ni mojawapo za jamii za watu ambazo zina mwingilia mkubwa sana na waislamu au kwasababu ni jamii ambazo zilileta na bado zinaendeleza opposition kubwa dhidi ya mafundisho ya kiislamu?

Huo ubaguzi ambao unapingwa dhidi ya waislamu ni upi?? Na ukoje??

Nitadokezea point chache ambazo tutajaribu kuchunguza kuhusu hii islamophobia, je ni jambo la kweli propaganda zilizotungwa, kwasababu huwez jua bila kuchanganua mambo ambayo maybe yanaweza kweli kuleta ubaguzi dhidi ya ndugu zetu waislamu na mafundisho yao.

  • Hakuna sehemu yoyote ambayo muislamu haruhusiwi kuingia, hata kama ni sehemu za ibada za kikristo au holy sites za kikristo, but kuna maeneo ya kiislamu ambayo mkristo, myahudi, Hindu au mtu mwingine yoyote ambae sio muislamu haruhusiwi kuingia(mfano makkah), so ubaguzi upo wapi?
  • Hakuna discriminatory names ambazo zimetungwa kwa ajili ya watu wasio amini katika ukristo, uyahudi au Hinduism, but kuna discriminatory names kwa ajili ya watu wasioamini katika mafundisho ya muhammad(makafiri), so ubaguzi hapo upo wapi?
  • Hakuna elective verses kweny biblia au mafundisho ya kikristo au Hindus yanayowataka wafuasi wake wapambane na watu wasiofuata mafundisho yao, but kwa hawa wenzetu waislamu hizo verses zipo lukuki, two examples of those verses👇
    1000402038.jpg
    1000402040.jpg
    Huo ubaguzi dhidi ya waislamu uko wapi?
  • Hakuna elective groups either za kikristo, Kiyahudi or Hindu ambazo zinalenga maangamizi ya nchi/jamii ya watu ambao hawafati mafundisho yao, but kwa ndugu zetu waislamu tunaona kuna makundi lukuki kama Al-Qaidah, ISIS etc, mengine kama Hammas kauli mbiu yao ni "Death to Jews", Houthi wao wanasema "Death to America", Juzi kati hapa kiongozi wa Islamic Republic of Iran Ayatollah kweny hotuba yake baada ya kuishambulia Israeli kaanza kwa kusema "kwa msaada wa allah tutaiangamiza Israel" mmh nikawaza hivi mfano kiongozi wa nchi kama Trump/Netanyahu au kiongozi wa kidini kama Papa asimame then aseme "kwa msaada wa Yesu tutaiangamiza Iran/yemen" si atatukanwa na kulaaniwa kwa kuwa Islamophobic? Hadi sasa bado najiuliza huo ubaguzi dhidi ya uislamu uko wapi?

Tukija kweny point ya "hofu dhidi ya mafundisho" ya kiislamu bado it doesn't make sense.
  • Mfano nikisema muhammad (53) alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kulala nae akiwa na miaka 9 utasikia mtu anakwambia "wewe una chuki na uislamu" kivipi? Chuki kwa kuongea vitu ambavyo vimerekodiwa kweny vitabu vyenu wenyew? Kwani sikupaswa kujua? Au Islamophobic ni mtu ambaye anajua mambo mengi kuhusu Uislamu ambayo hatakiwi kujua? au ni mtu ambaye anazungumza hadharani mambo flani ya kiislamu ambayo hayapaswi kuzungumzwa hadharani? Hivi Mfano, mtu akisema Yesu kazaliwa kweny zizi la ng'ombe na baada ya hapo akatoroshwa kwenda kufichwa misri alaf mimi nimwambie ana chuki na ukristo si ntakuwa mwendawazimu? Hivo vitu Si vimerekodiwa kweny agano jipya, same as incident ya muhammad na Aisha.
  • Nikisema kwamba Allah katudanganya, kwamba Allah kasema dunia ni flat,["He Who has, made for you the earth like a carpet spread out"] wakati uchunguzi na explorations tulizofanya binadamu tumekuja kugundua kwamba dunia sio flat bali ni spherical, common muslims wanakuja kuniambia nina chuki na uislamu(Islamophobic) why? Je, hata hao wanasayansi ambao wanabuni concepts, theories na formula mpya na bora zaidi kuzidi waliopita wana chuki dhidi ya wanasayansi wa zamani?

Kwa machache niliyoandika hapo juu, we unadhani kuwa Islamophobia ni jambo halisi au ni propaganda za kujilinda?

Hivi unadhani kwann hakuna Christianophobia? (Christianity + Phobia)

Kuna Islamophobia, kuna Anti-semitism, kuna Hinduphobia, ila sijawahi kusikia Christianophobia, je ni kwasababu wakristo sio watu wa kulialia? Au Je, ni kwasababu wakristo ni watu wanapuuzia na kusamehe?
Ni mara ngapi dini ya ukristo imetukanwa na kudharauliwa, mara ngapi wakristo tumeona wakinyanyaswa wanapokuwa kweny ardhi za Islam majority? Wanasema hapo Gaza kuna wakristo na wanaishi vizur tuu, huwa nacheka sana kwasababu mkristo hapo Gaza hata kule Westbank haruhusiwi kuzika akifiwa, hammas wanasema anainajisi ardhi yao, so hawaishi hapo tuu wanafukua makaburi na kutupa maiti za wakristo hadharani, but no one cares.

Mi nadhani Islamophobia ni "VICTIM CARD" wanayoicheza waislamu baada ya kuona sasa dunia imeanza kuelewa vizur motives zao, so ukisema chochote ambacho kinaweza kuwa expose au kuwafanya wawe uncomfortable, wanatumia hio victim card ya "Islamophobia", ili kukufanya uonekane una chuki dhidi ya uislamu, kwa maana nyingine wanakuwahi, wanakuwahi ili kukuvisha taji la Islamophobia ili ukiongea chochote kuhusu uislamu usionekana kama ni mtu unayetoa mawazo huru bali mtu ambaye unaongea mambo kwa chuki uliyonayo dhidi ya waislamu.
Kwasababu tuwe wakweli tu, waislamu hawajawahi kuwa victims, on the other hand Hindus, Jews and Christians wamekuwa victims mara nyingi sana chini mikono ya waislamu weny itikadi kali.

Kuna jamaa anaitwa Christopher Hitchens, yeye alisema "Islamophobia is a word created by fascists and used by cowards to manipulate morons", slowly naanza kuelewa alichomaanisha.

Tuwe wastaarabu tunapochangia.

HAPPY ISLAMOPHOBIA AWARENESS MONTH!
 
WEWE HICHO ULICHOANDIKA CHOTE NI CHUKI ZIDI YA WAISLAM.
HIVI MBONA WAISLAM HUMU JF HUWAKUTI WAPO BUSY SANA KUWAPEKENYUA WASIO WASILAM?
HEBU KILA DİNİ IBAKI KIVYAKE, WAIOKUWA WAISLAM WAACHENI WAISLAM NA UISLAM WAO. SIO KAMA HAWAWEZI KUJIBU AU WATASHINDWA, LAA HASHA.
KIUKWELI KWA MJADALA WAISLAM HAMTOWAWEZA ABADAN.
KUNA SEHEMU KWENYE QURAN WAMEKATAZWA KUWA NA MIJADILIANO AMBAYO ITAPWLEKEA KUTUKANANA NDIO MAANA MKAWAKUTA WANA USTAHAMILIVU WA HALI YA JUU.
 
Labda kama umeanza kufatilia mijadala ya dini juzi.

Hakuna wafia dini wenye ustahilivu, we subiri hapa uone moto na mitusi pande kuu zote.

Ni wachache mno hata hawazidi watano jf nzima toka dini zote watakao jibizana kwa staha..

We kaa kwa kutullia ujionee vagi kama uzi hautofutwa
 
But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu?

Kwa sababu wengi watoka kwenye kiza cha ukondoo na kuiona nuru ya Allah.

Biashara ya sadaka makanisani itapunguwa au itakwisha kabisa.
 
But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu?
Mafundisho yamejaa chuki, vitisho, ubaguzi, unyanyasaji pia mafundisho yao yana kila viashiria vya uchochezi wa vita (jihad). Tena kama ndo mwanamke kuwa muislam mfia dini, ujue kuna namna anakuwa hajitambui
 
Uislam umejengwa kwamisingi yakulialia naunafik kama mtoto wakambo tu wanaua wao kwakutumia jina lamungu wao halaf huku mtandaon wanasema nimmarekan ndio anaua
 
Islamophobia ni nini?

Na nini haswa lengo lake?

Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu.

But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu?

Kwani Uislamu una mafundisho gani ya kufanya watu wawe na hofu?
Na je, waislamu wenyew wamefanya nini hadi watu waogope mafundisho yao?

Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu, but waislamu wana define kama "Chuki" dhidi ya mafundisho ya kiislamu, kwann wanai-define hivi? Naweza sema maybe either hawajui kutofautisha kati hofu na chuki, au hawajui maana halisi ya neno "Phobia", ambalo linamaanisha "fear", which then translates to kiswahili "Hofu"

Lengo la kampeni ya Islamophobia hasa kweny huu mwezi mahususi wa "Islamophobia awareness Month" ni ku-rise na kuongeza awareness juu ya maswala ya ubaguzi dhidi ya mafundisho ya kiislamu na maneno yasiyofaa dhidi ya mafundisho ya mtume.

kampeni ya Islamophobia imewalenga sana wakristo, wayahudi na Hindus kuliko jamii zingine zozote, kwann? Je ni kwasababu ni mojawapo za jamii za watu ambazo zina mwingilia mkubwa sana na waislamu au kwasababu ni jamii ambazo zilileta na bado zinaendeleza opposition kubwa dhidi ya mafundisho ya kiislamu?

Huo ubaguzi ambao unapingwa dhidi ya waislamu ni upi?? Na ukoje??

Nitadokezea point chache ambazo tutajaribu kuchunguza kuhusu hii islamophobia, je ni jambo la kweli propaganda zilizotungwa, kwasababu huwez jua bila kuchanganua mambo ambayo maybe yanaweza kweli kuleta ubaguzi dhidi ya ndugu zetu waislamu na mafundisho yao.

  • Hakuna sehemu yoyote ambayo muislamu haruhusiwi kuingia, hata kama ni sehemu za ibada za kikristo au holy sites za kikristo, but kuna maeneo ya kiislamu ambayo mkristo, myahudi, Hindu au mtu mwingine yoyote ambae sio muislamu haruhusiwi kuingia(mfano makkah), so ubaguzi upo wapi?
  • Hakuna discriminatory names ambazo zimetungwa kwa ajili ya watu wasio amini katika ukristo, uyahudi au Hinduism, but kuna discriminatory names kwa ajili ya watu wasioamini katika mafundisho ya muhammad(makafiri), so ubaguzi hapo upo wapi?
  • Hakuna elective verses kweny biblia au mafundisho ya kikristo au Hindus yanayowataka wafuasi wake wapambane na watu wasiofuata mafundisho yao, but kwa hawa wenzetu waislamu hizo verses zipo lukuki, two examples of those verses👇View attachment 3148871View attachment 3148872Huo ubaguzi dhidi ya waislamu uko wapi?
  • Hakuna elective groups either za kikristo, Kiyahudi or Hindu ambazo zinalenga maangamizi ya nchi/jamii ya watu ambao hawafati mafundisho yao, but kwa ndugu zetu waislamu tunaona kuna makundi lukuki kama Al-Qaidah, ISIS etc, mengine kama Hammas kauli mbiu yao ni "Death to Jews", Houthi wao wanasema "Death to America", Juzi kati hapa kiongozi wa Islamic Republic of Iran Ayatollah kweny hotuba yake baada ya kuishambulia Israeli kaanza kwa kusema "kwa msaada wa allah tutaiangamiza Israel" mmh nikawaza hivi mfano kiongozi wa nchi kama Trump/Netanyahu au kiongozi wa kidini kama Papa asimame then aseme "kwa msaada wa Yesu tutaiangamiza Iran/yemen" si atatukanwa na kulaaniwa kwa kuwa Islamophobic? Hadi sasa bado najiuliza huo ubaguzi dhidi ya uislamu uko wapi?

Tukija kweny point ya "hofu dhidi ya mafundisho" ya kiislamu bado it doesn't make sense.
  • Mfano nikisema muhammad (53) alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kulala nae akiwa na miaka 9 utasikia mtu anakwambia "wewe una chuki na uislamu" kivipi? Chuki kwa kuongea vitu ambavyo vimerekodiwa kweny vitabu vyenu wenyew? Kwani sikupaswa kujua? Au Islamophobic ni mtu ambaye anajua mambo mengi kuhusu Uislamu ambayo hatakiwi kujua? au ni mtu ambaye anazungumza hadharani mambo flani ya kiislamu ambayo hayapaswi kuzungumzwa hadharani? Hivi Mfano, mtu akisema Yesu kazaliwa kweny zizi la ng'ombe na baada ya hapo akatoroshwa kwenda kufichwa misri alaf mimi nimwambie ana chuki na ukristo si ntakuwa mwendawazimu? Hivo vitu Si vimerekodiwa kweny agano jipya, same as incident ya muhammad na Aisha.
  • Nikisema kwamba Allah katudanganya, kwamba Allah kasema dunia ni flat,["He Who has, made for you the earth like a carpet spread out"] wakati uchunguzi na explorations tulizofanya binadamu tumekuja kugundua kwamba dunia sio flat bali ni spherical, common muslims wanakuja kuniambia nina chuki na uislamu(Islamophobic) why? Je, hata hao wanasayansi ambao wanabuni concepts, theories na formula mpya na bora zaidi kuzidi waliopita wana chuki dhidi ya wanasayansi wa zamani?

Kwa machache niliyoandika hapo juu, we unadhani kuwa Islamophobia ni jambo halisi au ni propaganda za kujilinda?

Hivi unadhani kwann hakuna Christianophobia? (Christianity + Phobia)

Kuna Islamophobia, kuna Anti-semitism, kuna Hinduphobia, ila sijawahi kusikia Christianophobia, je ni kwasababu wakristo sio watu wa kulialia? Au Je, ni kwasababu wakristo ni watu wanapuuzia na kusamehe?
Ni mara ngapi dini ya ukristo imetukanwa na kudharauliwa, mara ngapi wakristo tumeona wakinyanyaswa wanapokuwa kweny ardhi za Islam majority? Wanasema hapo Gaza kuna wakristo na wanaishi vizur tuu, huwa nacheka sana kwasababu mkristo hapo Gaza hata kule Westbank haruhusiwi kuzika akifiwa, hammas wanasema anainajisi ardhi yao, so hawaishi hapo tuu wanafukua makaburi na kutupa maiti za wakristo hadharani, but no one cares.

Mi nadhani Islamophobia ni "VICTIM CARD" wanayoicheza waislamu baada ya kuona sasa dunia imeanza kuelewa vizur motives zao, so ukisema chochote ambacho kinaweza kuwa expose au kuwafanya wawe uncomfortable, wanatumia hio victim card ya "Islamophobia", ili kukufanya uonekane una chuki dhidi ya uislamu, kwa maana nyingine wanakuwahi, wanakuwahi ili kukuvisha taji la Islamophobia ili ukiongea chochote kuhusu uislamu usionekana kama ni mtu unayetoa mawazo huru bali mtu ambaye unaongea mambo kwa chuki uliyonayo dhidi ya waislamu.
Kwasababu tuwe wakweli tu, waislamu hawajawahi kuwa victims, on the other hand Hindus, Jews and Christians wamekuwa victims mara nyingi sana chini mikono ya waislamu weny itikadi kali.

Kuna jamaa anaitwa Christopher Hitchens, yeye alisema "Islamophobia is a word created by fascists and used by cowards to manipulate morons", slowly naanza kuelewa alichomaanisha.

Tuwe wastaarabu tunapochangia.

HAPPY ISLAMOPHOBIA AWARENESS MONTH!
Propaganda tuu hizo, Islamophobia doesn't make sense at all.
 
Wapo vizuri kwa mambo 2 makuu
1. Nida
2. Msiba

Baadhi yao wanakuwa na ubaguzi sana kupitia maandiko na mafundisho yao.( wale wasiojielewa) Wanampigania Mungu wao zaidi kuliko anavyoeaapigania wao.
Hii ni kuwa wengi wao wanatumia muda mwingi kujifunza maandiko yao kuliko ya kidunia..

Ni watu poa sana ukikuta ameshika mafundisho yasiyo na chuki wala ubaguzi.
 
WEWE HICHO ULICHOANDIKA CHOTE NI CHUKI ZIDI YA WAISLAM.
Yaan una prove maneno ya jamaa, kwasababu hakuna hostility yoyote aliyoonesha jamaa dhidi ya uislamu.

Mnakimbilia kulialia na kuwashtaki watu kwamba wana chuki na uislamu, but hamjibu hoja yoyote.
 
Kwenye andiko lako umesema ni waislamu ndio wana vikundi vya kigaidi vya kupambana na watu wasiofuata mafundisho ya kiislamu right?

Hata vikundi vya kigaidi vya kikristo vya kupambana na watu wasiofuata mafaundisho ya dini ya kikristo vipo.

1.Army of God.(Marekani).
2.Lord's resistance army.(LRA)
3.Ku klux klan(KKK).
4.Anti balaka(Anti~machete:hapa unapigwa panga mpaka ubongo unaruka halafu unaliwa nyama)

kitu kingine umeandika waislamu wanakuwa na majina yao maalumu wanayoyatumia? mfano: yassin,abutwalib right? what about paul pogba mwenye jina la kikristo na ni muislamu?.

UVUMILIVU : Ni kweli kabisa wakristo ni wavumilivu kuliko waislamu esp pale unapowakashifu au kuidhihaki dini yao.

CHUKI NA DHIHAKA: Wakristo wanaongoza kwa kuuchukia uislamu na kuwadhihaki waislamu.

VITA : Uislamu ni dini ambayo imekaa kiharakati sana kuliko zote ndio maana wanaonekana wanapenda sana.
 
Islamophobia ni nini?

Na nini haswa lengo lake?

Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu.

But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe na hofu juu ya mafundisho ya kiislamu?

Kwani Uislamu una mafundisho gani ya kufanya watu wawe na hofu?
Na je, waislamu wenyew wamefanya nini hadi watu waogope mafundisho yao?

Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu, but waislamu wana define kama "Chuki" dhidi ya mafundisho ya kiislamu, kwann wanai-define hivi? Naweza sema maybe either hawajui kutofautisha kati hofu na chuki, au hawajui maana halisi ya neno "Phobia", ambalo linamaanisha "fear", which then translates to kiswahili "Hofu"

Lengo la kampeni ya Islamophobia hasa kweny huu mwezi mahususi wa "Islamophobia awareness Month" ni ku-rise na kuongeza awareness juu ya maswala ya ubaguzi dhidi ya mafundisho ya kiislamu na maneno yasiyofaa dhidi ya mafundisho ya mtume.

kampeni ya Islamophobia imewalenga sana wakristo, wayahudi na Hindus kuliko jamii zingine zozote, kwann? Je ni kwasababu ni mojawapo za jamii za watu ambazo zina mwingilia mkubwa sana na waislamu au kwasababu ni jamii ambazo zilileta na bado zinaendeleza opposition kubwa dhidi ya mafundisho ya kiislamu?

Huo ubaguzi ambao unapingwa dhidi ya waislamu ni upi?? Na ukoje??

Nitadokezea point chache ambazo tutajaribu kuchunguza kuhusu hii islamophobia, je ni jambo la kweli propaganda zilizotungwa, kwasababu huwez jua bila kuchanganua mambo ambayo maybe yanaweza kweli kuleta ubaguzi dhidi ya ndugu zetu waislamu na mafundisho yao.

  • Hakuna sehemu yoyote ambayo muislamu haruhusiwi kuingia, hata kama ni sehemu za ibada za kikristo au holy sites za kikristo, but kuna maeneo ya kiislamu ambayo mkristo, myahudi, Hindu au mtu mwingine yoyote ambae sio muislamu haruhusiwi kuingia(mfano makkah), so ubaguzi upo wapi?
  • Hakuna discriminatory names ambazo zimetungwa kwa ajili ya watu wasio amini katika ukristo, uyahudi au Hinduism, but kuna discriminatory names kwa ajili ya watu wasioamini katika mafundisho ya muhammad(makafiri), so ubaguzi hapo upo wapi?
  • Hakuna elective verses kweny biblia au mafundisho ya kikristo au Hindus yanayowataka wafuasi wake wapambane na watu wasiofuata mafundisho yao, but kwa hawa wenzetu waislamu hizo verses zipo lukuki, two examples of those verses👇View attachment 3148871View attachment 3148872Huo ubaguzi dhidi ya waislamu uko wapi?
  • Hakuna elective groups either za kikristo, Kiyahudi or Hindu ambazo zinalenga maangamizi ya nchi/jamii ya watu ambao hawafati mafundisho yao, but kwa ndugu zetu waislamu tunaona kuna makundi lukuki kama Al-Qaidah, ISIS etc, mengine kama Hammas kauli mbiu yao ni "Death to Jews", Houthi wao wanasema "Death to America", Juzi kati hapa kiongozi wa Islamic Republic of Iran Ayatollah kweny hotuba yake baada ya kuishambulia Israeli kaanza kwa kusema "kwa msaada wa allah tutaiangamiza Israel" mmh nikawaza hivi mfano kiongozi wa nchi kama Trump/Netanyahu au kiongozi wa kidini kama Papa asimame then aseme "kwa msaada wa Yesu tutaiangamiza Iran/yemen" si atatukanwa na kulaaniwa kwa kuwa Islamophobic? Hadi sasa bado najiuliza huo ubaguzi dhidi ya uislamu uko wapi?

Tukija kweny point ya "hofu dhidi ya mafundisho" ya kiislamu bado it doesn't make sense.
  • Mfano nikisema muhammad (53) alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kulala nae akiwa na miaka 9 utasikia mtu anakwambia "wewe una chuki na uislamu" kivipi? Chuki kwa kuongea vitu ambavyo vimerekodiwa kweny vitabu vyenu wenyew? Kwani sikupaswa kujua? Au Islamophobic ni mtu ambaye anajua mambo mengi kuhusu Uislamu ambayo hatakiwi kujua? au ni mtu ambaye anazungumza hadharani mambo flani ya kiislamu ambayo hayapaswi kuzungumzwa hadharani? Hivi Mfano, mtu akisema Yesu kazaliwa kweny zizi la ng'ombe na baada ya hapo akatoroshwa kwenda kufichwa misri alaf mimi nimwambie ana chuki na ukristo si ntakuwa mwendawazimu? Hivo vitu Si vimerekodiwa kweny agano jipya, same as incident ya muhammad na Aisha.
  • Nikisema kwamba Allah katudanganya, kwamba Allah kasema dunia ni flat,["He Who has, made for you the earth like a carpet spread out"] wakati uchunguzi na explorations tulizofanya binadamu tumekuja kugundua kwamba dunia sio flat bali ni spherical, common muslims wanakuja kuniambia nina chuki na uislamu(Islamophobic) why? Je, hata hao wanasayansi ambao wanabuni concepts, theories na formula mpya na bora zaidi kuzidi waliopita wana chuki dhidi ya wanasayansi wa zamani?

Kwa machache niliyoandika hapo juu, we unadhani kuwa Islamophobia ni jambo halisi au ni propaganda za kujilinda?

Hivi unadhani kwann hakuna Christianophobia? (Christianity + Phobia)

Kuna Islamophobia, kuna Anti-semitism, kuna Hinduphobia, ila sijawahi kusikia Christianophobia, je ni kwasababu wakristo sio watu wa kulialia? Au Je, ni kwasababu wakristo ni watu wanapuuzia na kusamehe?
Ni mara ngapi dini ya ukristo imetukanwa na kudharauliwa, mara ngapi wakristo tumeona wakinyanyaswa wanapokuwa kweny ardhi za Islam majority? Wanasema hapo Gaza kuna wakristo na wanaishi vizur tuu, huwa nacheka sana kwasababu mkristo hapo Gaza hata kule Westbank haruhusiwi kuzika akifiwa, hammas wanasema anainajisi ardhi yao, so hawaishi hapo tuu wanafukua makaburi na kutupa maiti za wakristo hadharani, but no one cares.

Mi nadhani Islamophobia ni "VICTIM CARD" wanayoicheza waislamu baada ya kuona sasa dunia imeanza kuelewa vizur motives zao, so ukisema chochote ambacho kinaweza kuwa expose au kuwafanya wawe uncomfortable, wanatumia hio victim card ya "Islamophobia", ili kukufanya uonekane una chuki dhidi ya uislamu, kwa maana nyingine wanakuwahi, wanakuwahi ili kukuvisha taji la Islamophobia ili ukiongea chochote kuhusu uislamu usionekana kama ni mtu unayetoa mawazo huru bali mtu ambaye unaongea mambo kwa chuki uliyonayo dhidi ya waislamu.
Kwasababu tuwe wakweli tu, waislamu hawajawahi kuwa victims, on the other hand Hindus, Jews and Christians wamekuwa victims mara nyingi sana chini mikono ya waislamu weny itikadi kali.

Kuna jamaa anaitwa Christopher Hitchens, yeye alisema "Islamophobia is a word created by fascists and used by cowards to manipulate morons", slowly naanza kuelewa alichomaanisha.

Tuwe wastaarabu tunapochangia.

HAPPY ISLAMOPHOBIA AWARENESS MONTH!

View: https://youtu.be/d225z-Yn0vk?si=pIwz49wNRqnKe95M
 
Back
Top Bottom