Novena ya Mt Rita

Hakuna tofauti na mtu anayeomba mizimu.
 
Mkuu hebu nielekeze hiii ya saa 15 unafanyaje??

Me nilikuwa nasali kawaida tu.
 
Ewe unayejiita mkristo, soma haya maandiko kisha tafakari makufuru uliyoyaandika

Yohana 14:13
Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…