Pole sana mkuu. Yaani mpaka hapo huyo dada hakuhusu kabisa, its better to continue taking ur time na kuconcentrate ktk maisha yako. Umeshafanya maamuzi ya kuachana nae, ukapiga hatua na leo unasurvive bila yeye, then be strong usirudi nyuma na wala usiruhusu akulie units katika fikra zako. Usijiulize maswali mengi sana juu yake coz naamini utabaki na 'LABDA' tu, na usipate jibu la kueleweka zaidi ya kupoteza muda wako ambao una thamani kubwa. Fungua ukurasa mpya, forget about her!