Now URP wants Raila to testify for Ruto at The Hague

Now URP wants Raila to testify for Ruto at The Hague

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
10247199_757304521024851_1647589372529222237_n.jpg

By Felix Olick

URP lawmakers, including close allies of Deputy President William Ruto, are reaching out to Cord leader Raila Odinga to testify for him in his ICC case.

In a surprise about-turn, the leaders, led by Elgeyo Marakwet Senator Kipchumba Murkomen, yesterday maintained that Raila should demonstrate his statesmanship by standing with Ruto.

They argued that, after all, Ruto was one of Raila's political lieutenants during the post-election violence crisis of 2007-08.

The Star has established that Ruto officially sent Murkomen to meet Raila over the matter before the former Prime Minister departed for India last week.

In a telling interview with the Star yesterday, Murkomen, a close confidant of the DP, confirmed that Raila would indeed be key in fighting off the prosecution at The Hague.

He said that as ODM chief, Raila is in a better position to convince the judges and the entire world that the party had no ideology or scheme to trigger violence and to evict other ethnic communities from parts of Kenya.

"Raila is an international leader and a national leader. It has been said that he has sacrificed a lot for this country, he should also sacrifice for the Deputy President for the sake of national unity," Murkomen told the Star.

"As a lawyer, I would advice the DP to ask Raila to testify in his case."
The Star has established that Ruto is already putting together his witnesses, with the prosecution case against him coming to an end.

Sources close to the DP's defence indicated that Ruto is targeting a section of the now-defunct ODM Pentagon's members to take to the witness stand and defend him over the deadly violence that rocked his Rift Valley backyard.

Raila, UDF leader Musalia Mudavadi, Mining Cabinet Secretary Najib Balala, former Minister Joe Nyaga and Lands CS Charity Ngilu were among the Pentagon members that campaigned vociferously to oust then President Kibaki.

However, yesterday, the head of the Cord Secretariat, Norman Magaya, said that no such request to assist the Deputy President has been made to the ex-Prime Minister.

"Anybody who wants to make any request is at liberty," Magaya said. "The PM would look at it and decide."

According to Murkomen, Raila and President Uhuru Kenyatta should now unite in fighting to end what he termed "The Hague fiasco".

However, National Assembly Majority Leader Aden Duale insisted that Raila teamed up with a number of Western powers to block Ruto and Uhuru from standing in the 2013 polls.

"These new URP guys don't understand the history of ODM and the ICC cases," Duale said, dismissing the others.

"The ICC is synonymous with ODM and Raila Odinga."

Last year, Ruto's defence team told the court that top officials in both the Kibaki and Uhuru administrations were part of a team that linked him to the 2007-08 post-election violence, an accusation that landed him at the ICC.

The DP's lawyers named then Interior Principal Secretary Mutea Iringo and Uhuru's senior Political adviser Nancy Gitau, both of them from the Mt Kenya region, as among his alleged "fixers".

When the trials began, a prosecution witness implicated the Orange Party in the bloodletting, claiming that ODM bankrolled youths who went on a killing spree, raping women and evicting people from their homes in the Rift Valley.

The witness told ICC judges ODM gave out large sums of money to Ruto, which was withdrawn from a local bank and then distributed to the youth.

allAfrica.com: Kenya: URP Wants Raila to Testify for Ruto At ICC
 
Ngongo, mfianchi,

Wakuu, hii sijui mnaionaje? Mnakumbuka wakati wa kampeni hawa mabwana walikua wanazunguka nchi wakisema mara sijui Raila nd'o kawapeleka kule Hague...wanamuita 'yule jamaa wa vitendawili'...sasa leo imekuaje yule bwana wa vitendawili nd'o mnataka aje amuokoe kinara wenu?...Hii nd'o imekula kwake Bwana Ruto. Jamaa tayari anatengezewa exit point hivi karibuni na nitatirika pindi nipatavyo ripoti kutoka vyanzo vyangu. Ukweli ni kwamba bwana Ruto amekaa pabaya.

Pamoja.
 
Kuna msemo kwamba katika siasa hakuna adui au rafiki wa moja kwa moja.X anaweza kuwa adui leo kesho rafiki mara nyingi mazingira ndio mwamuzi mzuri usije kushangaa next election Raila na Ruto wakawa team moja.

Ankal,

Ruto ashachafuliwa hata ifikapo hio 2017, iwapo Hague hawatombana, hakuna mtu atataka kumgusu. Hata Uhuru
Kenyatta kuna uwezekano mkubwa kua atamtosa. Kwa sasa anadaiwa kua na kashfa kiboa kuhusu uwizi wa ardhi
kila kona ya nchi. Ile seketa ya juzi ya watoto kupigwa mabomu ya machozi inasemekana yeye ni mhusika mkuu
aliyekwiba ardhi ya watoto kucheza games. Afu pia baada ya kura kuna ile ishu ya Bw. Muteshi ambaye alimpeleka
Ruto mahakamani kua alimuibia shamba lake la ekari 100. Ruto alipatikana na hatia na akaamuriwa na mahakama
kumrudishia jamaa kipande chake cha ardhi.

Afu hivi majuzi, timu ya Jubilee imeamua kujifufua upya na jina J.A.P....Jubilee Alliance Party ambapo wajuvi
wanatuambia URP, ambacho ni chama cha Ruto, imefunikwa na kupotezwa. Kwa ufupi bargaining power yake
imekatwa kwa asilimia kubwa.

Uwanja unatayarishwiwa mwanae Rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, kwa jina Gideon Moi.

Nitawahabarisha zaidi.
 
Ahsante Ab-Titchaz unajua siasa za jirani kidogo sizijui sana afadhali ukawa unatupatia darsa mara kwa mara kama hili.Kwahiyo Ruto ndio anapotea taratibu.

Ankal,

Ruto ashachafuliwa hata ifikapo hio 2017, iwapo Hague hawatombana, hakuna mtu atataka kumgusu. Hata Uhuru
Kenyatta kuna uwezekano mkubwa kua atamtosa. Kwa sasa anadaiwa kua na kashfa kiboa kuhusu uwizi wa ardhi
kila kona ya nchi. Ile seketa ya juzi ya watoto kupigwa mabomu ya machozi inasemekana yeye ni mhusika mkuu
aliyekwiba ardhi ya watoto kucheza games. Afu pia baada ya kura kuna ile ishu ya Bw. Muteshi ambaye alimpeleka
Ruto mahakamani kua alimuibia shamba lake la ekari 100. Ruto alipatikana na hatia na akaamuriwa na mahakama
kumrudishia jamaa kipande chake cha ardhi.

Afu hivi majuzi, timu ya Jubilee imeamua kujifufua upya na jina J.A.P....Jubilee Alliance Party ambapo wajuvi
wanatuambia URP, ambacho ni chama cha Ruto, imefunikwa na kupotezwa. Kwa ufupi bargaining power yake
imekatwa kwa asilimia kubwa.

Uwanja unatayarishwiwa mwanae Rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, kwa jina Gideon Moi.

Nitawahabarisha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ngongo, mfianchi,

Wakuu, hii sijui mnaionaje? Mnakumbuka wakati wa kampeni hawa mabwana walikua wanazunguka nchi wakisema mara sijui Raila nd'o kawapeleka kule Hague...wanamuita 'yule jamaa wa vitendawili'...sasa leo imekuaje yule bwana wa vitendawili nd'o mnataka aje amuokoe kinara wenu?...Hii nd'o imekula kwake Bwana Ruto. Jamaa tayari anatengezewa exit point hivi karibuni na nitatirika pindi nipatavyo ripoti kutoka vyanzo vyangu. Ukweli ni kwamba bwana Ruto amekaa pabaya.

Pamoja.

His masters would probably turn the case around but it is just inconceivable to even float the idea.
 
kwa kweli ruto yuponkwenye wakati ngumu Sana,watu Kama wakina dwale wanaropoka tu lakini ukiangalia kwa u ndani JAP imeimeza URP, hapo kinachofanyika ni kuipa nguvu chama cha Uhuru.

Kuhusu RAO kumsaidia DP huko ICC hiyo ni ndoto ya mchana, ruto apambane tu mwenyewe, mwenzake Uhuru ashajinasua kwa kutumia kofia ya irais .
 
If I were Raila,ningeenda The Hague bila ya masharti. Hapo inakuwa humility in such a way that,itakapofika siku za campaign,roho yake Ruto itamsuta. Hataweza kuongea mabaya juu ya Raila na pia ataweza jikusanyia a good number of votes. Let's wait and see how things are going to unfold.………
 
Hii sio kubadilisha kauli, Raila kama aliyekuwa kiongozi wa ODM ambaye kampeni zake kwenye eneo la Rift Valley zinatajwa na mwendesha mashtaka wa ICC kuwa zilikuwa zinalenga mauaji, ubakaji na kuwafukuza Wakikuyu anapaswa aende kueleza chama chake na Rutto kama kiongozi wa Rift Valley kilifanya hayo?

Na pia Ab-Titchaz...Ruto bado ni mtu ambaye hakwepeki kwenye chaguzi zinazokuja, uchaguzi ujao ndiye pia atakayeamua mshindi kama ilivyokuwa mwaka 2013; Bado hajatokea mtu mwingine wa kumnyang'anya nafasi yake kama Mfalme wa Siasa Rift Valley; Gideon Moi bado sana kuweza kumchallenge Ruto.

Na chama kipya cha Jubilee Alliance sio tofauri na unavyotaka kuwaaminisha watu hapo hakijaanzishwa kwa ajili ya kumpoteza Rutto bali kimeanzishwa kwa ajili ya kuhakikisha hageukwi na Timu ya Central-Wakikuyu waliokuwa TNA.

Kwa kujenga chama kimoja chenye nguvu, itakuwa rahisi kwa Ruto kuingia 2022 kupitia chama hicho cha Central-Rift Valley kuliko kuwa ba vyama viwili tofauti.

Wanachofanya Kenyatta ni Ruto ni kilekile walichofanya Kenyatta Mkubwa kwenda Kwa Moi; kama Moi angebaki KADU, vingunge wa KANU wasingemwacha achukue uraisi; ndicho wanachokifanya Kenyatta na Ruto.

Ndio maana hiki chama kipya wapiga debe wake wa mwanzo na akina Charles Keter na wanaokipinga ndani ya URP ni akina Isaack Ruto, utajua hapo kama hicho chama ni kwa kutupa Ruto au kumbeba.

http://mobile.nation.co.ke/news/New...2593092/-/format/xhtml/-/15cjy78/-/index.html

New Jubilee party to ensure Uhuru re-election and handover to Ruto

jubilee+pix.jpg

Political operatives keen to ensure a continued solid political relationship between President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto and manage the succession after the 2017 General Election are behind the formation of the Jubilee Alliance Party (JAP).

The Sunday Nation established that the President and his deputy ordered the creation and registration of the new formation and tasked a secret group of trusted operatives to go shopping for a fully registered political entity.

Mr Kenyatta and Mr Ruto are expected to explain details of the whole idea to Jubilee Alliance legislators at a Naivasha retreat scheduled for next weekend.

All parties under Jubilee, according to the designers of the new arrangement, are expected to be dissolved by 2017 to further
consolidate the Kikuyu and Kalenjin voting blocs underthe JAP to prepare the country for the Kenyatta succession with Mr Ruto as successor in 2022.

Sources say President Kenyatta summoned Kigumo MP Jamlek Kamau to State House and
briefed him on the new idea. Mr Kamau was then dispatched to Deputy President William Ruto for further briefing where he and Kericho Senator Charles Keter were tasked to work out the finer details.

The idea was generated after the appointment of Maj-Gen (rtd) Joseph Nakissery to head the Interior ministry when it was determined it would be self-defeating to keep fielding numerous candidates from the same coalition.

Contacted by the Sunday Nation, Mr Kamau said; "Eventually we want to make sure that URP and TNA are dissolved and everyone comes on board JAP. We want to move as one."

Maara MP Kareke Mbiuki Saturday confirmed that the creation of JAP is meant to prepare the way for a smooth re-election of President Kenyatta and initiate a platform that Mr Ruto will use to inherit the Mt Kenya votes in the 2022 elections.

"We want the President to run on a JAP ticket to defend his seat in the coming elections, then hand over the party to [Mr] William Ruto for the 2022 polls," Mr Mbiuki told the Sunday Nation.

He said that TNA, URP and all the other Jubilee affiliates will be dissolved into a single solid party with everyone on board. Though sceptics doubt the arrangement will last, Mr Mbiuki insisted the party will ensure Mr Ruto wins the presidency after Mr Kenyatta's tenure.

The legislator told this newspaper that proponents of the new political party are basing their hopes on the perceived warm relationship between President Kenyatta and Mr Ruto.

National Assembly Majority Leader Aden Duale also supported the formation of JAP, saying it would help unite Kenyans and also avoid a leadership vacuum within the ruling coalition.

"The new party will be a power to reckon with. We know who our flagbearers for the next 15 years will be. The others should also tell Kenyans who will carry their flag in the coming polls," Mr Duale said.

Kericho Senator Charles Keter, an ally of Mr Ruto, and former Gatanga MP David Murathe, an associate of the President, are said to have led the process of acquiring the Conservative Party, a moribund Jubilee affiliate, and renaming it JAP.

Some TNA supporters of the idea argue the plan will salvage Mr Ruto from the raging turmoil in his party. Bomet Governor Isaac Ruto and a group of powerful Moi-era individuals separately appear to be sustaining rebellion against the deputy president in the Rift Valley.

And, reacting to the formation of the new party, the Bomet governor asked President Kenyatta and his deputy to resign and seek a fresh mandate from the people following their decision to merge their political parties.

Mr Ruto said it was wrong for the two leaders to give their blessings to the merger without consulting members.

"We were shocked to learn that the President and his deputy have already registered a new party whereas they were still members of their respective political parties," he said.

"Why should the two leaders mislead Kenyans that TNA and URP will be merged ahead of the next General Election when already the new party will be presenting a candidate for the by-election in Kajiado Central?" he asked.

He said it was clear that by forming the new party the two leaders had become disloyal to the parties that sponsored them to power. "They have no business holding onto their seats," he charged.
"We are in URP to stay, and we are not about to defect to the new party."

kwa kweli ruto yuponkwenye wakati ngumu Sana,watu Kama wakina dwale wanaropoka tu lakini ukiangalia kwa u ndani JAP imeimeza URP, hapo kinachofanyika ni kuipa nguvu chama cha Uhuru.

Kuhusu RAO kumsaidia DP huko ICC hiyo ni ndoto ya mchana, ruto apambane tu mwenyewe, mwenzake Uhuru ashajinasua kwa kutumia kofia ya irais .

Angalia kwa umakini...hiyo ndio namna pekee ya Ruto kuchukua urais.

............................................................................................................................................................................................
However, in some circles,
the development has caused unease especially among some TNA MPs, apprehensive that it kills a party they have worked so hard to build.

Even though they declined to be quoted for fear of being seen as contradicting the top leadership of the coalition, the legislators claimed the move to create a single party for the coalition is an agenda driven by URP in preparation for 2017 general elections.

“We have heavily advised against this decision. It has been in the offing for quite some time now and we felt we were better off if we remained as individual parties in a coalition. You see, it is inURP’s best interest that we have one party so that after 2017, the Deputy President will inherit one party so that TNA will not have a chance to negotiate as an equal player in the coalition. The benefit of retaining these parties is essentially for each of us to have a platform through which we can negotiate and ensure everybody is fairly represented. That has now been defeated,” said aTNA MP.
http://www.standardmedia.co.ke/choice2013/home/article/2000148150/3/-inside-story-of-jubilee-s-new-jap-party-ahead-of-2017-elections
 
Ankal,

Ruto ashachafuliwa hata ifikapo hio 2017, iwapo Hague hawatombana, hakuna mtu atataka kumgusu. Hata Uhuru
Kenyatta kuna uwezekano mkubwa kua atamtosa. Kwa sasa anadaiwa kua na kashfa kiboa kuhusu uwizi wa ardhi
kila kona ya nchi. Ile seketa ya juzi ya watoto kupigwa mabomu ya machozi inasemekana yeye ni mhusika mkuu
aliyekwiba ardhi ya watoto kucheza games. Afu pia baada ya kura kuna ile ishu ya Bw. Muteshi ambaye alimpeleka
Ruto mahakamani kua alimuibia shamba lake la ekari 100. Ruto alipatikana na hatia na akaamuriwa na mahakama
kumrudishia jamaa kipande chake cha ardhi.

Afu hivi majuzi, timu ya Jubilee imeamua kujifufua upya na jina J.A.P....Jubilee Alliance Party ambapo wajuvi
wanatuambia URP, ambacho ni chama cha Ruto, imefunikwa na kupotezwa. Kwa ufupi bargaining power yake
imekatwa kwa asilimia kubwa.

Uwanja unatayarishwiwa mwanae Rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, kwa jina Gideon Moi.

Nitawahabarisha zaidi.

Haa ha ha..ilibidi niangalie mara mbilimbili?mkongwe wewe unasema Ruto wanasiasa watamkimbia?Raila mwenyewe unayemshabikia atakuwa wa kwanza kuwaupa akina Kalonzo na Wetangula na kumkimbilia kwa Ruto kama nafasi hiyo ingekuwepo.

Ruto bado ni KingMaker kwa Kenya kwa sasa; kama alivyoamua Rais wa Kenya 2013 ndiye atakayeamua pia Rais wa 2017, tegemea Jubilee kuongeza kura zake kwenye maeneo mengi iliyokosa mwaka 2013, na udhibiti wa maeneo yake ya Central na Rift Valley utaihakikishia urais kirahisi sana kuliko 2013.

Na hiki chama kipya hakina msaada wowote kwa kuchaguliwa kwa Kenyatta mwaka 2017, maana uungwaji mkono katika uchaguzi wa 2017 wa vyama vya URP na TNA hauna hofu yoyote kwa sasa.

Bali uungwaji mkono wa Ruto mwaka 2022 ndio kitendawili kikubwa ambacho chama hiki kipya kitasaidia kutegua, kwa kuudhibiti uungwaji mkono wa eneo la Central na kuhakikisha hakuna chama kingine chenye nguvu huko mwaka 2022 ili Ruto aweze kuridhi kura za huko jambo ambalo lingekuwa gumu sana kama TNA ingebaki kuwa kivyake, hivyo kuvunjwa kwa URP na TNA ndio namna pekee ya Ruto kutoka kuwa KingMaker na kuwa King.

Kuhusu ile kesi, ata angekuwa ni hakimu wa Mahakama ya Kisutu, kwa ushahidi ule usio na vidhibitisho hauwezi kumtia mtu hatia ya mauaji.
 
kwa kweli ruto yuponkwenye wakati ngumu Sana,watu Kama wakina dwale wanaropoka tu lakini ukiangalia kwa u ndani JAP imeimeza URP, hapo kinachofanyika ni kuipa nguvu chama cha Uhuru.

Kuhusu RAO kumsaidia DP huko ICC hiyo ni ndoto ya mchana, ruto apambane tu mwenyewe, mwenzake Uhuru ashajinasua kwa kutumia kofia ya irais .

Wala hujokesea unapoesema Ruto yuko katika wakati mgumu. Kama unakumbuka kile kipindi hii kesi yao ilipofikishwa kule ICC, serikali ya Kibaki wakati ule akiwemo Kalonzo Musyoka kama makamu wa Rais walikua wanazunguka ulimwengu
mzima hususan kule Security Council ya UN wakidai kua hizi kesi zitupiliwe mbali maana there is no way a sitting
President and his deputy could be prosecuted. Walitumia mabilioni ya hela katika hii kitu ambayo Kenya tulikua tunaita
'Shuttle Diplomacy'. All those efforts failed despite tonnes of advice from people in the know. Nakumbuka hata viongozi
wahuni waafrika walikua wanaingilia hii maneno. Afu jana hao viongozi wenyewe wakachomoa!...Museveni naskia
kamkamata mpinzani wake flani na amemsukuma huko ICC. Basically the push against ICC is dead while William Ruto
still stands on the dock. That is a enough reason to be frantic!

Afu kitu chengine watu hawafahamu ni kwamba wale waliomshtaki Ruto kule Hague bado wamo serikalini ya Uhuru
Kenyatta na wanavyeo poa tu. Jamaa zake walipiga kelele wakidai hawa mabwana wafutrwe kazi lakini Uhuru Kenyatta
kakomalia palepale na kuwapa nyadhifa nyeti katika serikali yake. Mashahidi dhidi ya bwana Ruto ni wakikuyu tupu
ambao ni jamaa za Uhuru Kenyatta na wamechukua kiapo kuhakikisha huyu bwana analipa kwa hiki kisa..

Kenya's William Ruto trial: 'Baying mob trapped hundreds' in Kiambaa church fire massacre - ABC News (Australian Broadcasting Corporation)

Alafu kuna ishu ya Rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi...huyu jamaa bado hajamsamehe William Ruto kwa kumdunisha
wakati wa kura za '07. Moi's power faded, all his kids lost political office na akaonekana mtu wa kawaida tu despite all
his power networks. Inaaminika kua Moi alitoa matamshi ya kwamba lazima atampa huyu ba'mdogo kisomo tu. Afu pia
wenyewe wanasema kua 'Ruto is not royalty like the Kenyatta's and Moi's and for that reason he will not step into
the house on the hill"

Kazi ipo.
 
Mkuu Masonjo ebu kuja kipande hii udadavue hoja za Ab-Titchaz kwa faida ya jamvi naona kama zina mashiko.

Mzee Moi hawezi kumpenda Ruto kwa sababu kamnyang'anya nafasi aliyokuwa nayo kwenye jamii ya Rift Valley; maana ilikuwa atakachosema Moi Rift Valley kila mmoja anafuata mpaka alipotokea Ruto na wakaacha kumsikiliza Moi na kumsikiliza Ruto, ata ungekuwa wewe ndio Moi usingempenda Ruto, ndio ubinadamu.

Lakin zama za Mzee Moi rift valley zimeisha, na Gidion Moi hawezi kupambana na Ruto kwa sasa, na hutajaribu kutafutazi mpambano na Ruto kwa sasa, ni too risk kwake; unless Uhuruto watoke madarakani mwaka 2017 jambo ambalo halielekei kutokea.

Ruto hajatengenezwa na yeyote kufika hapa alipo, kajitengeneza mwenyewe kwa kiwango kikubwa, the man from nowhere, hana family heritage ya kumbeba kama ilivyo kwa wengine wengi katika siasa ya Kenya, kafika this far kwa juhudi binafsi.

Na chama kipya cha Jubilee Alliance ni muelekeo huohuo wa Ruto kumaliza kutengeneza hatima yake akisaidiana na Kenyatta.Haihitaji kuungwa mkono na Mzee Moi kutimiza ndoto hilo kama ambavyo hakuihitaji kuungwa mkono na Moi kuwa Deputy President.

Tofauti kubwa ya Muungano ule wa Kibaki na Raila na huu wa Kenyatta na Ruto ni kuwa Kenyatta na Ruto wana chemistry, wana urafiki, na Kenyatta ni muungwana, ndio maan huwezi ona wakishambuliana kwa jambo lolote, yao wanamalizana nayo kimyakimya.

Kwa muungano huu wa kujenga chama kipya, tegemea juhudi za makusudi za kuhakikisha hatokei mtu kutoka Central mwenye nguvu sana kuelekea mwaka 2022 ili kuzuia Central-Wakikuyu kukimbia Ruto, na huo ndio msingi wa kujenga chama kipya, kimoja na kikubwa kilichoshika hatamu, ndio maana sasa waandaa tu watu wasio na uwezo wa kuwa na mvuto mkubwa kama Prof Kindiki, http://www.standardmedia.co.ke/thec...ndiki-gets-nod-to-be-ruto-s-2022-running-mate, ili ata mwaka 2020, kenyatta bado awe ndio mkuu wa siasa za central kwa ajili tu ya kumuandalia Ruto njia ya kushinda 2022.

NB: UKIMTOA RAILA AMBAYE ANAKARIBIA KUISHIWA OPTIONS ZA NJIA YA KUTIA, HAKUNA STRATEGIST MZURI KWENYE SIASA ZA KENYA KWA SASA ZAIDI YA RUTO, kupambana na waliomsukia kesi ICC ambao walikuwa vigogo wa serikali ya Kibaki ni kuendelea ugomvi kati ya makabila ya Wakikuyu na Kalenjin jambo ambalo litahatarisha political carrier yake ambayo sasa inategemea sana uungwaji mkono wa Wakikuyu, adui wa jana ni rafiki wa leo, na huyu huyu adui wa jana, watu hao walimpakazia kesi jana, wanamfaa Ruto leo na watamfaa kwa kesho yake, wanasema siasa hazina adui wa kudumu bali maslahi ya kudumu, na Ruto analiona hilo.
 
Mkuu Masonjo hoja nzito sana lakini ebu nipe darsa kiduchu.

Ukitazama kwa makini ulichaoandika kinaweza kuwa kweli lakini mwaka 2022 ni mbali sana kutabiri katika siasa mambo mengi yanweza kutokezea hata kabla ya mwaka 2017 hasa kesi ya Rito ICC.

Ukiangalia viongozi wa Afrika waliokuwa mstari wa mbele kupinga ICC hasa M7 baada ya kesi ya Kenyatta kufutwa hawaonekani tena wakiishutumu ICC tena majuzi M7 kampeleka kamanda wa LRA Mahakama hiyo hiyo ambayo juzi juzi alikuwa akiipinga sana.

Mzee Moi hawezi kumpenda Ruto kwa sababu kamnyang'anya nafasi aliyokuwa nayo kwenye jamii ya Rift Valley; maana ilikuwa atakachosema Moi Rift Valley kila mmoja anafuata mpaka alipotokea Ruto na wakaacha kumsikiliza Moi na kumsikiliza Ruto, ata ungekuwa wewe ndio Moi usingempenda Ruto, ndio ubinadamu.

Lakin zama za Mzee Moi riftvalley zimeisha, na Gidion Moi hawezi kupambana na Ruto kwa sasa, na hutajaribu kutafutazi mpambano na Ruto kwa sasa, ni too risk kwake; unless Uhuruto watoke madarakani mwaka 2017 jambo ambalo halielekei kutokea.

Ruto hajatengenezwa na yeyote kufika hapa alipo, kajitengeneza mwenyewe kwa kiwango kikubwa, the man from nowhere, hana family heritage ya kumbeba kama ilivyo kwa wengine wengi katika siasa ya Kenya, kafika this far kwa juhudi binafsi.

Na chama kipya cha Jubilee Alliance ni muelekeo huohuo wa Ruto kumaliza kutengeneza hatima yake akisaidiana na Kenyatta.Haihitaji kuungwa mkono na Mzee Moi kutimiza ndoto hilo kama ambavyo hakuihitaji kuungwa mkono na Moi kuwa Deputy President.

Tofauti kubwa ya Muungano ule wa Kibaki na Raila na huu wa Kenyatta na Ruto ni kuwa Kenyatta na Ruto wana chemistry, wana urafiki, na Kenyatta ni muungwana, ndio maan huwezi ona wakishambuliana.

Kwa muungano huu, tegemea mbinyo wa kuhakikisha hatokei mwanasiasa katika Central mwenye nguvu sana kuelekea mwaka 2022 ili kuzuia Central kukimbia Ruto, na huo ndio msingi wa kujenga chama kipya, chenye hatamu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Masonjo hoja nzito sana lakini ebu nipe darsa kiduchu.

Ukitazama kwa makini ulichaoandika kinaweza kuwa kweli lakini mwaka 2022 ni mbali sana kutabiri katika siasa mambo mengi yanweza kutokezea hata kabla ya mwaka 2017 hasa kesi ya Rito ICC.

Ukiangalia viongozi wa Afrika waliokuwa mstari wa mbele kupinga ICC hasa M7 baada ya kesi ya Kenyatta kufutwa hawaonekani tena wakiishutumu ICC tena majuzi M7 kampeleka kamanda wa LRA Mahakama hiyo hiyo ambayo juzi juzi alikuwa akiipinga sana.

Nakubaliana na wewe kuwa mshawasha wa Wakuu wa Nchi za Afrika juu ya kesi ya ICC umeshuka baada ya kesi ya Kenyatta kufutwa, sababu kubwa ni kutokana na nafasi ya Kenyatta, Mkuu wa Nchi, Rais wa Nchi ya Afrika, uzito wake na madhara ya yeye kusimama kizimbani ni tofauti na uzito na madhara ya Makamu wa Rais kuwa kizimbani.

Na ndio maana Ruto anapoenda kwenye kesi ICC anaenda pia na cheo chake cha UMakamu wa Rais lakin ilimlazimu Kenyatta kuuvua kwanza Ukuu wa Nchi ndio aende.

Ila kumbuka ata kabla AU haijatoa msimamo wowte juu ya ICC, Ruto tayari alikuwa anahudhuria kesi zake, na ata pale walipoambiwa wasiende yeye alisisitiza kuwa ataenda mahakama kuprove kuwa hana hatia na kuwa mambo ya mahakamani yabakie mahakamani, toka mwanzo kwenye kushiriki mahakamani Ruto msimamo wake upo wazi kabisa, http://www.citizennews.co.ke/news/2012/local/item/14265-ruto-leaves-despite-au na toka mwanzo msisitizo wa Ruto ulikuwa kesi ziendelee kusikilizwa na ICC, Kenya's Ruto to cooperate with ICC despite African pressure; http://uk.reuters.com/article/2013/10/15/uk-kenya-icc-ruto-idUKBRE99E0E320131015

Kwenye hatima ya kesi, bila shaka ukifuatilia aina ya ushahidi unaotolewa haina shaka kuwa ata ingekuwa mahakama ya hakimu mkazi, haiwezi kumtia hatiani mtu, sembuse ICC?ile kesi Ocampo aliishaikosea kwa kushindwa kufanya upelelezi ambao ungempa wahusika halisi na mashahidi wa kweli, tofauti na kesi zile za wale wenzake 4, hii ya Ruto atleast itafikia mpaka mwisho, ila hawezi tiwa hatiani kwa ushahidi dhaifu uliopo.http://www.nation.co.ke/news/politi...ess-604/-/1064/2443046/-/w79iixz/-/index.html. Mpaka sasa mashahidi wanaishia hakuna shahidi ambay unawez sema katoa ushaidi unaweza wawezesha majudge kumtia hatihani BEYOND REASONABLE DOUBTS..
 
Ngongo, mfianchi,

Wakuu, hii sijui mnaionaje? Mnakumbuka wakati wa kampeni hawa mabwana walikua wanazunguka nchi wakisema mara sijui Raila nd'o kawapeleka kule Hague...wanamuita 'yule jamaa wa vitendawili'...sasa leo imekuaje yule bwana wa vitendawili nd'o mnataka aje amuokoe kinara wenu?...Hii nd'o imekula kwake Bwana Ruto. Jamaa tayari anatengezewa exit point hivi karibuni na nitatirika pindi nipatavyo ripoti kutoka vyanzo vyangu. Ukweli ni kwamba bwana Ruto amekaa pabaya.

Pamoja.

Murkomen denies wooing Raila to defend Ruto at the ICC

29 January 2015, 10:57Joseph Njung'eh

Nairobi -
Elgeyo Marakwet Senator, Kipchumba Murkomen has denied media reports that he was wooing former Prime Minister Raila Odinga to defend Deputy President William Ruto at the ICC.

Murkomen, who is Ruto's close ally, rubbished the reports terming them as gossip.
It is alleged that Ruto sent the Senator to the ex-prime minister asking him to testify against the prosecution at the International Criminal Court (ICC) in regard to the ongoing criminal case against him.

Ruto is facing charges of crimes against humanity alongside ex-journalist Joshua Sang.

It is further claimed that Raila would be a key witness in Ruto's case given that he is the chief of Orange Democratic Movement (ODM) party, which was Ruto's party during the 2007 elections that ended in violence.

However, Murkomen responded by saying that he has never been sent to the opposition leader nor consulted him on matters of the ICC.

"Report facts not gossip. At no point did the DP sent me to the former PM, neither did I consult him on matters ICC,"
said the lawmaker in his social media accounts while dismissing reportspublished by a local daily.
 
ngongo, mfianchi,

wakuu, hii sijui mnaionaje? Mnakumbuka wakati wa kampeni hawa mabwana walikua wanazunguka nchi wakisema mara sijui raila nd'o kawapeleka kule hague...wanamuita 'yule jamaa wa vitendawili'...sasa leo imekuaje yule bwana wa vitendawili nd'o mnataka aje amuokoe kinara wenu?...hii nd'o imekula kwake bwana ruto. Jamaa tayari anatengezewa exit point hivi karibuni na nitatirika pindi nipatavyo ripoti kutoka vyanzo vyangu. Ukweli ni kwamba bwana ruto amekaa pabaya.

Pamoja.
mount kenya mafia wanamchinjia baharini ....ruto !!!

Mnategemea wakikuyu watamuacha ...wakati 2007 ..aliwachinja !!
 
kwa kweli ruto yuponkwenye wakati ngumu Sana,watu Kama wakina dwale wanaropoka tu lakini ukiangalia kwa u ndani JAP imeimeza URP, hapo kinachofanyika ni kuipa nguvu chama cha Uhuru.

Kuhusu RAO kumsaidia DP huko ICC hiyo ni ndoto ya mchana, ruto apambane tu mwenyewe, mwenzake Uhuru ashajinasua kwa kutumia kofia ya irais .

Kaka Boniface Mwangi yule kijana mwanaharakati ansema mtu yeyote anayehusika na ICC kwenye kesi ya Uhuru ni marehemu na ndio maana kesi imefutwa kwa''kukosa ushahidi'',hawa jamaa wametumia uraisi kushinda kesi zao,na sio siri kuwa kuna damu ya watu katika kukosa huo ushahidi,na Ruto waliomfix sio RAO ni PNU na nyumba ya Mumbi.
 
hawa nyumba ya mumbi wajanja Sana, walimfix Ruto then huyo huyo Ruto wakamtumia kupata madaraka.
ukiangalia kwa undani Uhuru bila Ruto asingepata urais,sasa wameshamtumia wao kijana wao kajinasua wamemuacha Ruto anateseka na kesi.
kuna mambo mengi Sana ambayo Ruto pamoja na wapambe wake wanatakiwa waangalie kwa maskini, kwanza wakikuyu sio Wa kuamini toka enzi na enzi wakikuyu wamekuwa wabinafisi Sana, Kenyatta alimsaliti odinga na kumpoteza kwenye siasa za kushika dola.
baada ya kifo cha kenyatta wakikuyu wali gang up wakitaka moi asimrisi Kenyatta walijaribu mbinu zao chafu zao zote, sema tu moi nae alikuwa ngangari.
jamaa ndio wanamiliki biashara kubwa kubwa Kenya kuanzia construction companies to different government positions Kama vipi angalia mkuu Wa majesh,usalama Wa taifa(niss) police force nk.
yaani Uhuru yupo pale Kama ceremonial president wanao m control wamekaa pembeni na remove na hawa ni wakikuyu .
katika historian ya Kenya sijawai on au kusikia (I stand to be corrected ) Rais amevaa army Regalia (kombat) lakin mshikaji juzi katinga kombat wakati hata jeshini hajapitia, unazani pale alikuwa anatuma ujumbe UPI!! wenye akili wanatambua.
natabiri japo sitaki kuwa prophet of doom, kalenjin Wanaweza Wakagawa kura come 2017.
kura zitaenda nyanza na zingine central.yangu macho tuombe uzima.
 
Back
Top Bottom