ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijui hata wamekuja kuwaje,wamekuwa waizi Sana kesi nyingi za udokozi wanawake wanahusika.me mwenyewe Ni shuhuda amekuja mdada dukani Tena mrembo katuibia simu na vitu kadhaa.kwenye mwendokasi wanaiba sana,madukani kariakoo wanaiba sana.wanaume siku hizi wamepunguza uwizi hawana hata habari.sasa jamani ndugu zetu nyie wakina mama zetu,wake zetu,dada zetu,na madem wetu nauliza hamuoni aibu?una habari ukishikwa umeiba tunakuchoma moto hatukuonei huruma.mwanamke kuiba huo ni UBABA.nawasilisha