Nowdays wanawake ndo wanaongoza kwa uwizi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sijui hata wamekuja kuwaje,wamekuwa waizi Sana kesi nyingi za udokozi wanawake wanahusika.me mwenyewe Ni shuhuda amekuja mdada dukani Tena mrembo katuibia simu na vitu kadhaa.kwenye mwendokasi wanaiba sana,madukani kariakoo wanaiba sana.wanaume siku hizi wamepunguza uwizi hawana hata habari.sasa jamani ndugu zetu nyie wakina mama zetu,wake zetu,dada zetu,na madem wetu nauliza hamuoni aibu?una habari ukishikwa umeiba tunakuchoma moto hatukuonei huruma.mwanamke kuiba huo ni UBABA.nawasilisha
 
Kipindi cha mpito tu usijari
 
Kweli kabisa. Siku hizi wamekuwa vinara wa wizi.

Hasa kwenye maduka na hata kwenye baadhi ya mbinu za wizi wanaume huwatanguliza wanawake ili kuaminika zaidi.
 
mmmh waombeeni kwa Mungu waache wizi.
 
Hahahah mwingine kapigwa sana kariakoo kaiba nguo last week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…