Wakuu heshima kwenu,
Kuna gari Nissan Caravan ya 2007 CC 2950 ya Diesel.(Engine Z30)
Hii gari ilikuwa inatumia lita 1 kwa km 9.
Sasa kuna mtu aliweka Petrol kuanzia hapo tatizo likaanza lita 1 ikawa km 8 hadi sasa lita 1 kwa km 6.
Mafundi wamekagua na kushauri ninunue Nozel zake 4 hivyo naomba kwa mtu anayejua solution ya kuondoa ulaji mkubwa wa mafuta au anayeuza Nozel.
Naomba unitumie namba zake PM ili tuwasiliane kwa uraisi.
Asanteni.