man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
naona kila mtu ana furaha na chuo chake alichochaguliwa hata mimi pia ila naanza kupata mashaka na hiki chuo ambacho mimi nimepangiwa hamna updates zozote kwenye website yao kuhusu sie tunaoenda kuanza hata majina ya ambao tumechaguliwa pale mpaka leo hawajaweka kuhusu usahili pia hola kama hili tu la website majanga hivi je huko chuoni management zinaeleweka kweli mpaka saa hivi kiukweli sijui lolote kuhusu chuo changu maana siamini taarifa za kuambiwa mpaka nione kwenye website sasa kama kuna mtu yupo ardhi university anaweza kutoa ufafanuzi au hata kufikisha hizi taarifa kwa wahusika atoe msaada please.