man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
Chuo makini hicho dogo hakikurupuki kwenye mambo yake, ulizia mwaka jana ilikuwa hvyo hvyo
NB; watatoa majina pamoja na joining instruction kwa wakati mmoja,
USHAURI wangu punguza paparaa point zako ndogo nn ndo maana hujiamini kama umepata ardhi university.! Just (joke) mwana aru-uclas mwenzangu..! Over
naona kila mtu ana furaha na chuo chake alichochaguliwa hata mimi pia ila naanza kupata mashaka na hiki chuo ambacho mimi nimepangiwa hamna updates zozote kwenye website yao kuhusu sie tunaoenda kuanza hata majina ya ambao tumechaguliwa pale mpaka leo hawajaweka kuhusu usahili pia hola kama hili tu la website majanga hivi je huko chuoni management zinaeleweka kweli mpaka saa hivi kiukweli sijui lolote kuhusu chuo changu maana siamini taarifa za kuambiwa mpaka nione kwenye website sasa kama kuna mtu yupo ardhi university anaweza kutoa ufafanuzi au hata kufikisha hizi taarifa kwa wahusika atoe msaada please.
duuuh....man of steel....yan unamawazo kama yangu ....ila leo nimejaribu kupiga simu wamesema kuwa watatoa majina week hii ngoja tuendelee kuwa nasubira
sawa darius see you there ila point zangu zinanifanya nisome chuo chochote hapa nchini ambacho kipo under TCU tatizo limitations zinaletwa na kitu nichotaka kusomea...over...
Kwanini hujaenda ud basi??
UD chuo bora sawa kabisa tatizo sijaangalia sifa hizo nimeangalia fursa ambazo mimi ninazo ndizo zimenifanya nijaze environmental engineering ambayo ipo ardhi na kuacha hizo civil,petrolium na geology za UD alafu cha kuongezea tu sijawahi kukosa vigezo sehemu yeyote katika masuala ya elimu labda vigezo vya kijinsia ila kitaaluma sijawah.

mitoto humu ndani mizombi kweli. Yaan inajali jina la chuo badala ya kozi. Iko tayari kusoma kozi ya kishwain udsm na kuacha kozi za maana college zingine. Kwa mtindo huu jiandaen kusota baada ya kumaliza.fuata maarifa

Siyo jina la chuo.